Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,407
Hahah! Ban ikihusika hapa basi nitamuweka kwenye list ya watu kama Adolf Hitler, Benito Mussolini au Idd AminJinga Sana Wewe
Nimecheka Kama kichaa.. Mello mwenyewe akiona hapa ban nje nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejisikia Leo tumtanie au sioHahah! Ban ikihusika hapa basi nitamuweka kwenye list ya watu kama Adolf Hitler, Benito Mussolini au Idd Amin







😂😂😂😂😂unaenda kuomba picha ya familia ama??
Siwezi kubisha yote yanawezekanakwamba kaenda pm kuomva picha ya max?
Huyu mtoto kanshinda

unaenda kuomba picha ya familia ama??








Mwambie kaka tapeli aweke picha basi😂😂
Duh! Kuna kitu hapa
Watu wamevuka boda jamani
Hizo kesi zinazomkabili kila leo yupo mahakamani na bado anapata muda wa kusongesha pm mpaka pages 192
















Anachat na Max mpaka pages zinafika 192?



kumradhi