Oohh mambo safi tu sijui weweHahah! Nipo tu sema ratiba inabana kimtindo
Mambo yako vipi lakini?
nimecheka sana maana sio kwa hizi harakati










Kwamba pm yako ina page 192?Boss wetu hatuna shaka naye
Juzi nimechat na bossView attachment 1436639View attachment 1436640
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe unapotea sana mzeeMimi pia niko poa sana wala msistuke... sema tu nimekua na vijimajukumu fulani hivi ndio vinanificha
Hahah chief unanivunjia heshima mie na usanii ni ardhi na mbingu
Leo nipo bhana...
Nimemuona nae ni msanii msanii tu
Ni kwenye UziBoss wetu hatuna shaka naye
Juzi nimechat na bossView attachment 1436639View attachment 1436640
Sent using Jamii Forums mobile app





Chini Sana WeweHapana hapo ni PM sisi tumeshapitisha hiyo na imeisha






Kwamba melo akae anachat na Mimi messages zote hizowewe ni noma





