Wapi nimesema?
Bado naendelea kuifanyia uchunguzi hii video hapo chini











DahWalibrowser mkabaki mnashangaa tu
115905 ukawa hata huelewi ni namba gani
Sent using Jamii Forums mobile app


Mtambo huu.

๐๐๐๐๐๐ ile inaunguza kuanzia Ulimi, Koo, utumbo mpaka Maini
Hivi hiyo pombe Ina ukali kiasi hicho kweli jamani Hadi mtu anafanya vile??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii changamoto sijui ni lini itatatuliwa maana kila mtu analalamikia tatizo hilihili
Wacha wee naona GB whatsapp ๐Mtambo huu.
Kumbe ilinitunzia WhatsApp video za toka mwaka juzi.
Nilikuwa najiuliza mbona inajaa haraka,kumbe imebeba vitu vya miaka na miaka.
View attachment 1427269
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimi?ile inaunguza kuanzia Ulimi, Koo, utumbo mpaka Maini

![]()
Haeleweki huyo
Umeona hilo jibu sasa?hatujaachana ila kaniacha![]()


Wacha wee naona GB whatsapp![]()









