carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,616
Haki Tena
Niliona jinsi King anavyomangamanga kutafuta 115904 kwenye page zao za librowser
Akawa anashangaa huyu kafikaje hukokwenye browser ipo 53,000
Mimi nilienda kwa mwendo wa nyoka
Namba uliyotaja haikuwepo ila nilirudi kuoekua tu kwa Kasi ya nyoka..maana huku kwenye app tunakimbia tu
Sent using Jamii Forums mobile app








basi yaisheNa vile nilitaka kuweka full












