Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
A wapi weweNa hilo kabati unalotumia utakuta zimepotea![]()

Juzi tu nimezifuma sehemu zimetulia
Sent using Jamii Forums mobile app
A wapi weweNa hilo kabati unalotumia utakuta zimepotea![]()

Pole sanaNa mtandao unachangia.
Tabu za kuishi milimani hizi
Milima milima tu na mabonde Hadi mitandao inapotea
Sent using Jamii Forums mobile app


Umeyatsoma aliyoyatoa kipindi Hiki??Hayo maelezo sio mara ya kwanza kutolewa




![]()
Sikumbuki ni lini nilikuwa mzembe kiasi hichi kinachoongelewa hapa
Uliona nini kwani?
Hiyo simu ipo siku itakuongelesha maana unaisema sana vibaya 😀
App haihusiki hapo.
Itoe kabisa app..acha kuchanganya app na kabati za kijinga wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nianze tuMei mosi utanunua na simu nyingine?![]()








@Davet njoo ona maajabu hukuA wapi wewe
Juzi tu nimezifuma sehemu zimetuliaView attachment 1427237
Sent using Jamii Forums mobile app
JamaniAnafurahia app kuboreshwa wakati simu inatabia ya kuficha vitu sasa sijui ataionea wapi?









