[emoji122][emoji122] asanteYani we jamaa
Are you Serious right now ??
Yani unasema Kabisa App ni kama jiko la mkaa, Kwaiy jiko la Mkaa Limegunduliwa baada ya jiko ya Gesi ??
Mimi kwa kurefresh kwang tuu nimecover process zako Wewe kibao.Wewe Ukitaka
Update ya Majukwaa yote lazima uende kwenye Options kitufe cha mistari mitatu utapelekwa haya mambo
-New threads
-your threads
-Theads with your Posts
-Unanswered threads
Tena inabidi Urudie rudie process ili upate(u-update) New threads Huku Mimi nafresh tuu [emoji16][emoji16]
Wazee hembu imagine unasoma uzi wa kimasihara pages kama 1.5k Wewe wa browser sijui utafanyaje kufanikisha hilo sitak kujua [emoji41][emoji41]
Mimi Wa App nascroll tuu mpaka ntakapochoka Mwenyewe, I can find number pages easy too zimejiandika (1- 10,20-30 nk) sio lazima niandike namba kama huko [emoji28][emoji28]
Bwana Weee App is Simplified form of web Browser ni vile tuu iko na Deficiency zake
Inaonekana tuu Logically App is the best siwez bishana tena We ngoja ikamilike uone
[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23] kwambaNi mambo ya umri tu [emoji3]
Naona upo huku nje unajaribu kuilinda image yako katika jamii 😀Kaniqotue kule Basi
Kabati liliongezea[emoji30][emoji30]
Tangu lini Mimi natumia hizo emoj[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli, browser siwezi tumia hata wanilenge na mtutu wa bunduki utosini.
Jambo asilolijua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba
Muhimu muhimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona upo huku nje unajaribu kuilinda image yako katika jamii [emoji3]
Kumbe ni tarehe hvi recent[emoji2][emoji2] OoohkyMei mosi[emoji847][emoji847]
Ni bora nipambane na ligi zile za nyenyere Kama 10 hivi kwenye nyuzi zake kuliko kutumia browser[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli, browser siwezi tumia hata wanilenge na mtutu wa bunduki utosini.
Umeona eeh?Kumbe ni tarehe hvi recent[emoji2][emoji2] Ooohky
.
Ninyi Ma-web Browser hatuta-taka wageni kwenye New Updated App muendelee na kubrowse (keep browsing guys [emoji1787][emoji1787])
I like Complexity lakini sio kwa vtu ambavo havinijengi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani usikute hata hapa sichat na wewe ni simu yako yenyewe inafanya haya yote
Nimeshaitoa
Rudi kule tena sasa hivi pako hot lazima unenepeMuhimu muhimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Image yangu [emoji23]
Kule ndo siji tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua huyu nimemuacha miaka mingi Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba umri unakuwashia taa ya kijani kutumia App [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] teh, ni sawa na usiku wa giza.
Kama wewe una 70 yeye ana 60 sawa tu 😀Ungejua huyu nimemuacha miaka mingi Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Yule uliyemsema kwenye Uzi wa mnazareth kwamba alikuimbisha mashairi Ni yupi?[emoji85][emoji23][emoji23] teh, ni sawa na usiku wa giza.