Wapo mpendwa
#vikobasiganimtani?Kabla ya kujua kama nakutetea au la, inabidi tutambulishane kwanza.
#kwaniVileVikobasiNiVyaNani?
Nani iko teka wewe kipenzi?Upi tena kaka yangu kipenzi..?
#mbonakamaNahujumiwa


...
Nitaambia watu wanishukuru maana harakati zangu ndio zimesaidia



Haya maneno mawili "pole" na "hongera" jibu lao huwa ni moja tu
Asante




Hahah alafu huu uzi mbona upo chit chat
Kwamba unajifanya zile nyuzi za malalamiko kule jukwaa la malalamiko hujaziona?
Siku moderators wataunganisha kweye ule wa likes
😂😂😂😂😂 umeanzaaa hivyooYaani kwin na kauli zako tata bhana sikuwezi...
#missedyoumuch
Babe,we acha tu...Kd amenitelekeza huku porini, ameweka mgomo kunifata😕Nani iko teka wewe kipenzi?
Mekumiss mimi![]()
Ndio! Wewe unataka kunijaza hapa niropoke kumbe mwenzangu una panproof![]()






Mtoto wa Melo, mambo😀
Huku wa Kwanza kulimwa ban ntakuwa Mimi
Sent using