Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,584
- 17,526
Misigazimisiki!![]()
Misigazimisiki!![]()
Ni camon, hiyo ni spell errorTechno Canon? Ndo IPI?
Kuwa na kivinjari kama operamini, kisha nenda setting- security - allow instlallation from unknown source(weka on). Ingia opera mini search www.videoder.com, itakuja apk, ipakue, kisha instlall. Hapo utapakuwa videoyoyote unayotaka duniani.
umewasha data na mb zipo?Mbona namejaribu inaniambia the webpage is not available.
Iyo ni kiboko! Hata mtu aki update password nayo ina update pia, ina show passwords alizo change, ila mapungufu yake ni kua unahitaji kua connected to the internet ili iweze kufanya kazi, then uta copy passwords zako na utafanya yako.... Ila kwa usalama zaidi wa mambo yako utakayokua unafanya online pindi utakapo kua umefanikiwa ku connect na moja ya secure WiFi, basi huna budi kutumia VPN ili ku hide IP address yako na original location....
Napenda sound nzito mkuu natumia Y8 Bluetooth headphones nipe maujanja mkuuJet audio.
Kwa wapenda sauti nzito na ya juu ktk headphones.Ila shart isetiwe.picha kuatarch humu hata sijui.
Ila atakayedownload aifungue hapa hapa nimpe maelekezo na wengine waone.
Uzuri wa hii haina muda utaitumia tuuuuuuu,sio kama Poweramp.
Napenda sound nzito mkuu natumia Y8 Bluetooth headphones nipe maujanja mkuu
Thanx mkuuPost no 116 maelekezo.
No 118 picha.
Rejea.
Mbona playstore zipo nyingi hizo tvtap pro ni ipi kati ya hizoWa wale wapenzi wa live soccer hamna app ninayoikubali kama TVTAP PRO
MOBDRO tupa kule
Mkuu app kama hizo usikimbilie playstore nenda Google search jina la hiyo App mwisho andika .apk mfano Tvtap pro.apk
asante hansMkuu app kama hizo usikimbilie playstore nenda Google search jina la hiyo App mwisho andika .apk mfano Tvtap pro.apk