The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,580
Asante sana mtoa uzi, naomba namna ya kuipata io free audio player
Task Maneger app kwenye Simu yako automatically Kila Simu ipoGPS kwenye setting ya simu inapatikana wapi
Naongezea apo! Kwa wale tusopenda kununua bando tunavizia public WiFi ambazo ni secure/ina password au router wifi ya jirani yako au uko Town afu kuna wifi ina security basi tumia WIFI MAP iko play store itaifungua na utasearch location ulipo na itaonyesha WiFi zinazokuzunguka na passwords za izo Wi-Fi waliozoweka jamaa,.... NB: GPS iwe ON muda uo ili iwe rahisi location yako kua recognized na WiFi Map na ukumbuke kudownload Tanzania WiFi Map iliopo umo umo kwenye App iyo...
.Naongezea apo! Kwa wale tusopenda kununua bando tunavizia public WiFi ambazo ni secure/ina password au router wifi ya jirani yako au uko Town afu kuna wifi ina security basi tumia WIFI MAP iko play store itaifungua na utasearch location ulipo na itaonyesha WiFi zinazokuzunguka na passwords za izo Wi-Fi waliozoweka jamaa,.... NB: GPS iwe ON muda uo ili iwe rahisi location yako kua recognized na WiFi Map na ukumbuke kudownload Tanzania WiFi Map iliopo umo umo kwenye App iyo...
Hiyo ya 3,,, Yenye star rates ya 4.3.
Ndo ipi hapaView attachment 607163
Iyo ni kiboko! Hata mtu aki update password nayo ina update pia, ina show passwords alizo change, ila mapungufu yake ni kua unahitaji kua connected to the internet ili iweze kufanya kazi, then uta copy passwords zako na utafanya yako.... Ila kwa usalama zaidi wa mambo yako utakayokua unafanya online pindi utakapo kua umefanikiwa ku connect na moja ya secure WiFi, basi huna budi kutumia VPN ili ku hide IP address yako na original location.....
Ndo ipi hapaView attachment 607163
Hebu njoo malizia hiyo ya kuweka chajiHabari wana JamiiForums,
Leo nimeona niandike kuhusu application za smartphone.
Zifuatazo ni application za smartphone ambazo ninazitumia na zinanisaidia sana;
1.LIBRERA
Hii ni app ya kusomea vitabu ina vitu vingi zaid ya adobe acrobat unaweza weka kitabu cha pdf isome kwa sauti unayotaka we inakua ni kusikiliza tuu na inaweza weka page itembee yenyewe na vingine kama kufungua epub na fomart zote za maandishi na vinginevyo
2 MP3 cutter
Hii ni ndogo sana chini ya 500kb hii hutumika kuondoa matangazo na sehemu katika wimbo ambazo huzipendi
3 MX PLAYER
Hii ni video player ambayo ukidownload wimbo mpya hunashida ya kutafuta yenyewe kitu kipya ina mark kama new pia ina userinterface nzuri
4 POWERAMP
Hii ni audio player nzuri sana wengi wanaijua ila unatumia week bac baada ya hapo unainunua lakini pia kuna uzi humu ulishajadili namna ya kuifungua for lifetime free
5 PRIVATE NOTE
Hii ni app ya kuhifadhi notes zako za muhimu mfano unasoma uzi jf na data zinakaribia isha basi una copy unaufifadhi kwa app ili kusoma offline.pia hii app unaweza uka weka email ikawa inatuma kwa email yako hata ikitokea sim imepotea una nunua sim nyingine una download hii app inarudisha tena notes kwa simu kutoka kwa email yako .faida nyingine ikiweka notes kwa email yako hutoziona ata ukifungua email mpaka uiweke app kwa simu ndo izirudishe
6 HAKIKI
Hii ni app nzuri kwa wajasiriamali kama m-pesa tigo-pesa na airtel money agents hii app inatumika offline inakupa chart mbalimbali kuhusu matumizi yako ya m-pesa ina kueleza miamala uliofanya na faida nyingine kubwa ina kutengenezea transaction statment(bank statment) katika pdf juu ya miamala yote ulofanya na unaweza print unachotakiwa ni kuto futa sms za miamala kabla huja create bank statment(samahani hili sio neno sahii nmetumia unielewe tuu sjui wanaitaje hizi statments haa haa)
7 PURIfy
Hii ni app nzuri sana ku boost simu kwani ina boost kwa kuzima app zotee na kutunza chaji vizuri hii kwangu ndo best kwani nmetumia kama du battery saver na nyinginezo ila kwa hii inafanya vizuri especially kwa simu ambazo hazina ultra power saver
8 TIGO BACKUp
Hii ni kwa wale wenye lain za tigo inafanya security pale ukiibiwa simu inafeature nyingi za buru na za kuripia ila mimi feature nnayotumia ya bure ambayo nmeipenda ni pale ukibadili laini tuu inatuma ujumbe wa namba mpya iliyowekwa kwa namba zingine zaweza kua rafiki au jamaa uliyeseti apokee ujumbe ukiibiwa simu
9 WOrdWeb
Hii ni dictionary ya english to english ambayo inatumika offline na ina maneno mengi sana
10 VIDEORDER
Hii ni ya kudownload video katika fomart mbalimbali youtube pia ina convert video to audio pia inakupa option ya kudawnload mp3 katika wimbo wa video youtube
11 FREEBASICS
HII NI kwaajili ya kutumia jammiiforum bureeeeee bila kuweka vocha
(kwa sie wenye bando la kuunga unga haah haaah)
Next time Mungu akijalia tutajifunza namna ya kubadili kuondoa battery notification sound
kuandika jina lako mfano notification kama BATTERY LOW CONNECT CHARGER kuibadili na kuwa WE MWENYE SIMU HEBU CHOMEKA CHAJA NIMEISHAA haa haa na mengine mengi tuu tuombe uzima
Samahani sana kwa uandishi wangu mbovu lakin nahis utanielewa
See you next time
Aisee,App yenyewe inajieleza mkuu Music Player.Hii n ya nn
Ku-play music with cool equalizer.Hii n ya nn
search katika google kuna uzi wa jamii forum ulishazungumzia hii ishu nadhani uliitwa "jinsi ya kuichakachua poweramp"Asante sana mtoa uzi, naomba namna ya kuipata io free audio player
unatakiwa usifute sms za miamala kabla hujatengeneza ripotiHiyo app ya HAKIKI naona ni idea nzuri lakini nimeijaribu naona inashindwa kutoa ripoti sawasawa naona imeambulia kunipa salio la airtelmoney tu. Labda sijui kwa wanaotumia mitandao mingine!
sawa ngoja niziandae notesHebu njoo malizia hiyo ya kuweka chaji
Ngoja niijalibuNaongezea apo! Kwa wale tusopenda kununua bando tunavizia public WiFi ambazo ni secure/ina password au router wifi ya jirani yako au uko Town afu kuna wifi ina security basi tumia WIFI MAP iko play store itaifungua na utasearch location ulipo na itaonyesha WiFi zinazokuzunguka na passwords za izo Wi-Fi waliozoweka jamaa,.... NB: GPS iwe ON muda uo ili iwe rahisi location yako kua recognized na WiFi Map na ukumbuke kudownload Tanzania WiFi Map iliopo umo umo kwenye App iyo...
mkuu ukisach wifi map zinakuja nyingi unashindwa elewa ni ipiNaongezea apo! Kwa wale tusopenda kununua bando tunavizia public WiFi ambazo ni secure/ina password au router wifi ya jirani yako au uko Town afu kuna wifi ina security basi tumia WIFI MAP iko play store itaifungua na utasearch location ulipo na itaonyesha WiFi zinazokuzunguka na passwords za izo Wi-Fi waliozoweka jamaa,.... NB: GPS iwe ON muda uo ili iwe rahisi location yako kua recognized na WiFi Map na ukumbuke kudownload Tanzania WiFi Map iliopo umo umo kwenye App iyo...
Sms zangu zote zipo ila naona bado inafeliunatakiwa usifute sms za miamala kabla hujatengeneza ripoti