Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,563
- 2,126
LOCATION
Kwenye Location imapatikanaje aise?
LOCATION
Unapoweka LOCATION ON basi ndio unakuwa umewasha GPSKwenye Location imapatikanaje aise?
Pia Dropbox ina al kitu inaitwa paper...ni nzuriKwa kutunza notes zako app ambayo huwa natumia ni Evernote hii iko poa sana nimekuwa naitumia tikea 2012 na niko na notes zangu zote since then.
Okay safi. Nitaicheck na yenyewePia Dropbox ina al kitu inaitwa paper...ni nzuri
Nimeinstall aisee iyo Tvtap pro ni shida nilikua natumia LiveNet TV .. Lkn hii ni kibokoMbona playstore zipo nyingi hizo tvtap pro ni ipi kati ya hizo
Mi Remote. Ila hadi simu yako iwe na IR Blaster ndio ita function.Mwenye kufahamu app za kuifanya simu itumike kama remote ya tv na mouse ya computer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Remote mouse mkuu.. Download tu googleplay ni rahisi kutumia sana.. Ni kwaajili ya pc.. Sijui kwa tvMwenye kufahamu app za kuifanya simu itumike kama remote ya tv na mouse ya computer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe link ya kuipata au screenshot iconNimeinstall aisee iyo Tvtap pro ni shida nilikua natumia LiveNet TV .. Lkn hii ni kiboko
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mkuu,Jet setting.
hongera bana kwa kumchangia yule mwamba.sisi wengine tumeenda kutafuta cracked vasion mpaka tumeipata.Safi mkuu,
Nimenunua ile jet audio ya kulipa nishida
Wacha kabisa,,
hongera bana kwa kumchangia yule mwamba.sisi wengine tumeenda kutafuta cracked vasion mpaka tumeipata.
maana kuna maeneo huwezi tumia kama umechukua ya playstore.