kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,488
- 2,105
nikisachi kwenye wifi yangu ya kawaida ya kwenye simu napata wifi ya mtu ipo jirani tu na mimi lakini nikitumia hiyo wifi map ili niipate password yake siipati, naletewa wifi zilozopo mbali umbali wa 600m wakati ya hapa jirani ambaho haifiki hata 50m haionekani kwenye WiFi map,shida nini?Naongezea apo! Kwa wale tusopenda kununua bando tunavizia public WiFi ambazo ni secure/ina password au router wifi ya jirani yako au uko Town afu kuna wifi ina security basi tumia WIFI MAP iko play store itaifungua na utasearch location ulipo na itaonyesha WiFi zinazokuzunguka na passwords za izo Wi-Fi waliozoweka jamaa,.... NB: GPS iwe ON muda uo ili iwe rahisi location yako kua recognized na WiFi Map na ukumbuke kudownload Tanzania WiFi Map iliopo umo umo kwenye App iyo...
