pol dauda
Senior Member
- Sep 21, 2017
- 126
- 45
mx player mkuu ni nzur saaaaaaaaaana mnooo tena unaweza ukaweka video afu ukakata yaan ukaskiliza kama wimbo kwenye home yaan background ,sasa apo n setting na ujuz na uelewa wa lugha unaset kwenye setting yake Bluetooth inaweza, ata ukipigiwa sm unaendlea kuskiza mzik kwa chin chinNyie wa ios hpat vitu ving coz android ina watumiaj weng sana dunian afu ni simple