Application muhimu kwa smartphone yako

Application muhimu kwa smartphone yako

PSB
Hii ni kwa ajili ya privacy. Weka namba unazotaka kuchat privately.... Ukitumiwa msg zitakuwa zinakuja huku Za hizo namba binafsi.... Pia calls ukipigiwa itablock zitakuwa msg...
pia unaweza hide icon isiwe inaonejana.

But shart uiweke iwe ndo default. Hapo msg zingine zitakuwa zinakuja kawaida. Ipo pstore
Psb mbona sijaiona play store au kirefu chake ni kipi au mkuu unaweza kunitumia link
 
11 FREEBASICS
HII NI kwaajili ya kutumia jammiiforum bureeeeee bila kuweka vocha
(kwa sie wenye bando la kuunga unga haah haaah)

See you next time

Siku hizi freebasic haifanyi kazi Kwa jamii forum. Wame-deactivate.
Wameamua kutukomoa sisi wa kipato Cha chini.
 
PSB
Hii ni kwa ajili ya privacy. Weka namba unazotaka kuchat privately.... Ukitumiwa msg zitakuwa zinakuja huku Za hizo namba binafsi.... Pia calls ukipigiwa itablock zitakuwa msg...
pia unaweza hide icon isiwe inaonejana.

But shart uiweke iwe ndo default. Hapo msg zingine zitakuwa zinakuja kawaida. Ipo pstore
Me nitakuja badae nikiona ndoa inanisumbua
 
Back
Top Bottom