RAJ PATEL JR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 743
- 168
Namfananisha ni kina Einstein na newton Kweli Jobs alikuwa bonge la innovater mzee. Aachana na makopo hayo ya dell, next tym compare dell na wenzake hao kina HP,ACER na wengine. Nyc post
Wabongo kwa mbwembwe mmeshindikana. Duuuuuuh! Makampuni makubwa ya USA,, CANADA na nchi nyingine wanatumia dell, hp, acer kwenye shughuli zao wewe wa dar es salaam unaziita MAKOPO. LOL. Tatizo letu sisi nchi za dunia ya tatu ni tunafuata upepo tuuuu. Leo hii GERMANY na nchi nyingine zilizoendelea kuna watu wengi wanatumia Windows 2000 ila kibongo bongo mtu kanunua laptop lake used kariakoo (hajawahi hata kutumia computer) anatumia windows 7 hata xp hajui inamwonekano gani. Hebu angalia ni stage ngapi kavuka. Waulize wazungu stage walizopitia hadi wakaanza kutumia ATM then fikiria stage tulizopitia TANZANIA (tumekurupukia tuu) ndo maana zinatusumbua. Wazungu wanatubebesha vitu ambavyo hatujawa tayari kuwa navyo.Mkuu nina DELL laptop, baada ya kuisoma hii thread imenifanya niione DELL yangu kama kopo! Ningekuwa na uwezo ningelitupa hili kopo langu. Jobs na Apple ni habari nyingine
Acha porojo wewe..... wanatubebesha makopo tuuhaya tunayonunua kariakoo karibuni yatakuwa kwa mafungu. Apple ni kitu kingine kinawapeleka puta sana kina Dell walikuwa wamezoea kutuletea viplastiki na vinachemsha tuu kila baada ya miezi kazaa sasa kazi wanayo. Na usiongee nchi zilizoendelea eti wanatumia window 2000 kwani wewe unazania hizo kumputer mpya za bei gali ni kwa soko la bongo. Fikiria tena labda hata dell nchi zetu za kata wanautata nazo wanatuletea zile nzee tuu na slow na korokoro kabisa.Wabongo kwa mbwembwe mmeshindikana. Duuuuuuh! Makampuni makubwa ya USA,, CANADA na nchi nyingine wanatumia dell, hp, acer kwenye shughuli zao wewe wa dar es salaam unaziita MAKOPO. LOL. Tatizo letu sisi nchi za dunia ya tatu ni tunafuata upepo tuuuu. Leo hii GERMANY na nchi nyingine zilizoendelea kuna watu wengi wanatumia Windows 2000 ila kibongo bongo mtu kanunua laptop lake used kariakoo (hajawahi hata kutumia computer) anatumia windows 7 hata xp hajui inamwonekano gani. Hebu angalia ni stage ngapi kavuka. Waulize wazungu stage walizopitia hadi wakaanza kutumia ATM then fikiria stage tulizopitia TANZANIA (tumekurupukia tuu) ndo maana zinatusumbua. Wazungu wanatubebesha vitu ambavyo hatujawa tayari kuwa navyo.
Acha porojo wewe..... wanatubebesha makopo tuuhaya tunayonunua kariakoo karibuni yatakuwa kwa mafungu. Apple ni kitu kingine kinawapeleka puta sana kina Dell walikuwa wamezoea kutuletea viplastiki na vinachemsha tuu kila baada ya miezi kazaa sasa kazi wanayo. Na usiongee nchi zilizoendelea eti wanatumia window 2000 kwani wewe unazania hizo kumputer mpya za bei gali ni kwa soko la bongo. Fikiria tena labda hata dell nchi zetu za kata wanautata nazo wanatuletea zile nzee tuu na slow na korokoro kabisa.
Ndo yaleyalee niliyosema, FUATA UPEPO. Fanya kama ulivyoelekezwa na mkuu Shakazulu hapo juu.Acha porojo wewe..... wanatubebesha makopo tuuhaya tunayonunua kariakoo karibuni yatakuwa kwa mafungu. Apple ni kitu kingine kinawapeleka puta sana kina Dell walikuwa wamezoea kutuletea viplastiki na vinachemsha tuu kila baada ya miezi kazaa sasa kazi wanayo. Na usiongee nchi zilizoendelea eti wanatumia window 2000 kwani wewe unazania hizo kumputer mpya za bei gali ni kwa soko la bongo. Fikiria tena labda hata dell nchi zetu za kata wanautata nazo wanatuletea zile nzee tuu na slow na korokoro kabisa.
Mkuu unatudanganya (unless otherwise utupe ushahidi)...windows 2000 iliondolewa sokoni rasmi july mwaka jana, hakuna mtu anatumia windows 2000 leo!Wabongo kwa mbwembwe mmeshindikana. Duuuuuuh! Makampuni makubwa ya USA,, CANADA na nchi nyingine wanatumia dell, hp, acer kwenye shughuli zao wewe wa dar es salaam unaziita MAKOPO. LOL. Tatizo letu sisi nchi za dunia ya tatu ni tunafuata upepo tuuuu. Leo hii GERMANY na nchi nyingine zilizoendelea kuna watu wengi wanatumia Windows 2000 ila kibongo bongo mtu kanunua laptop lake used kariakoo (hajawahi hata kutumia computer) anatumia windows 7 hata xp hajui inamwonekano gani. Hebu angalia ni stage ngapi kavuka. Waulize wazungu stage walizopitia hadi wakaanza kutumia ATM then fikiria stage tulizopitia TANZANIA (tumekurupukia tuu) ndo maana zinatusumbua. Wazungu wanatubebesha vitu ambavyo hatujawa tayari kuwa navyo.
LOL! You made my day mkuu. You mean kitu kikiondolewa sokoni ndo hakitumiki tena?? Kama ndo hivyo hata barabarani kusingekuwa na foleni cause magari mengi mno watu wangeyaacha majumbani kwao cause yalishatolewa sokoni zamani sanaaaaaa. Hii laptop ninayoitumia nikikwambia imetolewa sokoni mwaka gani utacheka hadi basi. Umenichekesha mno. Kama una marafiki zako wazungu unaochat nao waulize watakwambia kuhusu hizi habari za windows 2000. Umenichekesha mnooo. Tatizo umekariri mkuu.Mkuu unatudanganya (unless otherwise utupe ushahidi)...windows 2000 iliondolewa sokoni rasmi july mwaka jana, hakuna mtu anatumia windows 2000 leo!
mwaka jana nilikuwa Australia kikazi nikaingia duka la komputer nikashangaa hakuna komputer nzee huko zote zilikuwa ni mpya na nikatembelea maduka mengi tuu kila kitu kilikuwa ni kipya cha wakati huo. Hata nilienda kuangalia showrooms za magari na nikakuta yote ni mapya yaani ya mwaka huo na yale yanayokuja mwaka ujao. Wakati huo huo bongo gari jipya ni jina tuu na limetoka kama miaka mitano iliyopita. Upeo wangu navyojua miye zile kumpuni zenye vibajeti vidogo na havinaga faida sana ni hasara tu kila kukicha kama tanesco ndo unakuta bado wanatumia window 2000. Nazani wewe Sumu nikiongozi wa kampuni hizo hasara tupu ndo maana wanashidwa kununua komputer mpya kuongeza ufanisi wa kazi. haya furaiya window 2000 yako siye twa subiria window 8LOL! You made my day mkuu. You mean kitu kikiondolewa sokoni ndo hakitumiki tena?? Kama ndo hivyo hata barabarani kusingekuwa na foleni cause magari mengi mno watu wangeyaacha majumbani kwao cause yalishatolewa sokoni zamani sanaaaaaa. Hii laptop ninayoitumia nikikwambia imetolewa sokoni mwaka gani utacheka hadi basi. Umenichekesha mno. Kama una marafiki zako wazungu unaochat nao waulize watakwambia kuhusu hizi habari za windows 2000. Umenichekesha mnooo. Tatizo umekariri mkuu.
Naona wewe ndio unadanganya watu. Kama windows 2000 iliondolewa sokoni mwaka jana, haijaondolewa kwenye kompyta za watu. Mwenye kompyuta ya zamani atatumia window 2000 maana windows nyingine hazitaingia kwenye komputa yake. Usingalie dar tu. Nenda kwa wamiliki wa kompyuta za zamani uone wanatumia windows gani.Mkuu unatudanganya (unless otherwise utupe ushahidi)...windows 2000 iliondolewa sokoni rasmi july mwaka jana, hakuna mtu anatumia windows 2000 leo!
Sijawahi kutaka kununua Dell in my life! My intuition was right! DELL ni kawaida sana! Hana tofauti na FUJTSU!
Mkuu unatudanganya (unless otherwise utupe ushahidi)...windows 2000 iliondolewa sokoni rasmi july mwaka jana, hakuna mtu anatumia windows 2000 leo!
Bado watu kuna wanaendelea kuitumia hadi leo
Alafu kuna watu wanadai kuwa windows 2000 na XP ni nzuri kwa upande wa security ukilinganisha na hizi nyingine.