Ha ha ha ha haaaaaaaaaah, nilichokitegemea ndo kimetoka, nilianza kupatwa na wasiwasi niliposikia wanaanza kutoa phablets, mpaka sasa iphone 5, 5s na 5c ndo my best , najua wafia iphone watanipinga lakini ukweli utabaki kuwa Apple Inc wamechemka vibaya kwenye suala la simu mwaka huu, kama wataendelea na mwendo huu wa kuiga nani anafanya nini nami nifanye basi tutashudia Apple phones zikikosa soko tofauti na enzi za Jobs (R.I.P), huyu jamaa alikuwa creative and very innovative
Jaribu kuingia kwenye yahoo uone kama ni maoni yako ya kukosa soko yana-hold water. Hii ndio moja ya habari.
Apple iPhone 6 pre-orders hit record 4 million on first day.
www.yahoo.com/news/apple-receives-record-pre-orders-130255260.html/