Apple unveils two new iPhones, Apple Watch and ApplePay

Apple unveils two new iPhones, Apple Watch and ApplePay

Nilishakaribia Mkuu,huko Samsung wananipata kwenye TV na Fridge ,but Simu zao big NO.
About User name, umenifanya nicheke maana na mimi ni jina langu nilipewa na Bibi yangu,utotoni nilikuwa nalia sana wakiniita hilo jina tena kwa utani mwingi,as am grown up niko proud na hilo jina.

loh!...nimejikuta nafurahi tu kuskia hivyo mkuu.
tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom