I agree..tatizo linakuja kwenye ndoa zetu sasa ni kununiana mpaka tuwanunulie haya ma iphone 6 plus..dahh ngoja tuanze kuweka provisions kabisa maana hii ina fall kwenye capex hii
Apple are set to counter attack their close competitors with this new launch.
Lets wait and see the stocks skyrocket in this week.
Saa sinunui hata wangeuza 1$
Lol!
halafu we jamaa unaingiaga pm lakini?
hii ni takataka, poorest iPhone design ever! simu kama nokia lumia?..mammae zako Tim kazi imekushinda! Apple walitakiwa kubaki na distinctive premium look kama ya iphone 5s, only slimmer. sasa hii takataka si ndiyo walikotoka zamani, kwenye 3g, huyu fal.a kapewa rungu naona wanaevolve backward...mpumbavu tu! sasa nimeamini Jobs alikuwa zaidi ya kichwa, vilikuwa vichwa mia nane, tuombe wakina Wozniak wasife mapema, tutaletewa Mac zinafanana na Fujitsu na kurun ubuntu!
Apple are set to counter attack their close competitors with this new launch.
Lets wait and see the stocks skyrocket in this week.
Hizo bei walizeweka ni za jumla au?
Kwa mtu yeyote ambaye anaelewa hizi technologies ni wazi safari hii apple wamechemsha. Apple wameshindwa kuendelea kuwa unique, better and special. Wamekuwa 'just another smartphone brand on the market'
Hizo bei walizeweka ni za jumla au?
hapana boss. hizo ni bei za two year contract. yaani unalipa kidg kidg kwa miaka 2
Design no ovyo