CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
wewe ndio Limbukeni na hilo lisumsang lako
hahahhaa, naona hata kusoma post za huko juu haujasoma unajichomeka kichwakichwa tu! nimesema sijawahi kumiliki smartphone tofauti na iPhone, iPhone ZOTE nimeshazitumia nazijua A-Z, lakini kwa hii iPhone 6 wamenikosa, nitabaki na 5s yangu na kama nikitaka kununua simu nyingine basi sita-upgrade iPhone kama ilivyo kawaida yangu,nitanunua Samsung Note Edge, hiyo ndiyo naona imeshinda mwaka huu, natoa pesa yangu CASH mfukoni nanunua MPYA kwa hiyo nina maamuzi ya kuangalia kitu gani ni kizuri kwa wakati husika bila kujali naipenda sana kampuni gani. haya wewe sasa hebu ongea kama mtu mzima sasa tofauti na ulimbukeni wa simu ya kike simu ya kiume! Kama ni ushabiki nilitakiwa niwe nao mimi, nimeanza kutumia products za apple since i dont know when, vifaa vyangu vya electronis karibia vyote ni product za Apple Inc, lakini bado akili yangu iko huru sina upofu, wanapoharibu nasema wameharibu, siyo kila kitu unasifia kama mwanamke asiyejitambua!