Apple sasa waondoa USB port

Apple sasa waondoa USB port

Itafika time izo simu zitakuwa outdate na hazipokea matoleo mapya ya OS ivo itakubidi tu uhame mkuu mana imagine saivi Apps kama whatspp au Instagram haiko supported kwa simu zenye android below 4.0. Sasa hawa wenye simu zenye hio android unafikiri bado wataendelea kungangania izo device ile hali grand apps tu hazisupport.
siwezi tumia simu isiyo support whatsapp/instagram

ukifika huo wakati namimi nita ji update ila kamwe hutoniskia

eti nimerukia iphone x sjui s11 never never never
 
siwezi tumia simu isiyo support whatsapp/instagram

ukifika huo wakati namimi nita ji update ila kamwe hutoniskia

eti nimerukia iphone x sjui s11 never never never
na ukitaka kufurahia hizi simu usiwe na papara,leo hii iphone x mpaka mil 1 inapatikana,ukisubiri mpaka 2020 mwishoni,itakuwa inacheza kwenye 700k mpka 600k.maana kuna simu kubwa 4 zitakuwa ni mpya kwa wakati huo.
 
Huna hela
Apple wao wafike hata iphone 34 ila ushamba wangu nimeamua

kubaki na 6s na s6 edge plus yangu,yani samsung wafike hata wapi

sinunui simu zaidi ya s6 edge plus,iphone hata wafike wapi sinunui zaidi ya 6s
 
Apple wanayumba sana tangu kujiondoa kwa mbunifu wao maana hii iphone majicho matatu mwonekano mbovu sana hawajui tu
 
Mimi ngoja niendelee kupambana na tecno yangu kwanza Yesu karibia arudi kulichukua kanisa [emoji125][emoji125][emoji125]


Ndoto za alinacha hizo, Yesu arudi kutoka wapi??, Yeye alijifia zake huko Kashmiri zamani sana.


Angalia documentary ya BBC on; Rozabal shrine.
 
Back
Top Bottom