Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,848
Hahaha....ni rahisi sana kukufahamu kuwa Wewe ni Mtu wa namna ipi na mwenye kiwango kipi cha elimu.Siwezi poteza muda kukuelezea ubora wa iPhone dhidi ya takataka Kama infinix
Hahaha....ni rahisi sana kukufahamu kuwa Wewe ni Mtu wa namna ipi na mwenye kiwango kipi cha elimu.Siwezi poteza muda kukuelezea ubora wa iPhone dhidi ya takataka Kama infinix
Hahaha....ni rahisi sana kukufahamu kuwa Wewe ni Mtu wa namna ipi na mwenye kiwango kipi cha elimu.
mkuu hii tech ukienda nayo unafilisika.Mkuu nenda na wakati
mkuu hii tech ukienda nayo unafilisika.
Hapa nilipo napata nachokihitaji, kuna features kwenye simu sizihitaji kabisa
Kuna jamaa anatumia iphone nikamuuliza kwanini unaipenda, akasema usalama, wakati hana anacholinda humo, kuangalia ana porn tu ndani, nikasema shit.
apple ni technological monstersHawa apple huwa wanakurupuka kama bother K
[emoji23][emoji23][emoji23]maana hamna namna,watakuua hawa ukisema uitike kila wakikuita.
mimi niko na iphone 5s,nasubiri siku ikikataa kuchukua watsapp na insta au jf ndio nitafikiria kuhamia juu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza wanaume mnaotumia iPhone mmelegea sana, unaweza shikwa hata kalio ukaishia kusema "NIACHE BWANA"
Ya Uongo, umbea au ya dharau?Nina PhD
Ya Uongo, umbea au ya dharau?
Even me.