Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,055
Kwanza wanaume mnaotumia iPhone mmelegea sana, unaweza shikwa hata kalio ukaishia kusema "NIACHE BWANA"
Wa tekno nyie ndio sitaki kusema. Mpaka mnaj@mba
Kwanza wanaume mnaotumia iPhone mmelegea sana, unaweza shikwa hata kalio ukaishia kusema "NIACHE BWANA"
Unanijua sana, ama?
Zimechujaje mzee wakati bado zinapokea update.sio simu za kizamani kihivyo wakati watu bado tuna 5c
Kwanza wanaume mnaotumia iPhone mmelegea sana, unaweza shikwa hata kalio ukaishia kusema "NIACHE BWANA"
Maandishi yako yanaonesha hivyo
Mkuu ninaomba msaada wako.
Ninaomba uniambie umuhimu sana wa kutumia IPhone dhidi ya simu zingine.
Ina huduma zipi nzuri tofauti na simu zingine kama Tecno, Infinix etc.
Nadhani chief mkwawa tu ndio kaelewa vyema kwanini wengine hatuvutiwi na iphone. Baki fikra zako zilizojaa dharau.
Una matatizo wewe, yaani mimi kukubali kwamba sivutiwi na iPhone ndio nimekuwa na wivu?Umejawa na wivu tu mkuu... unajua iPhone 11 pro Max unanunua Vitz au kuezeka nyumba?
Una matatizo wewe, yaani mimi kukubali kwamba sivutiwi na iPhone ndio nimekuwa na wivu?
Halafu kumbe unanunua kitu tu sababu ya bei sio mahitaji nacho?(nimeshakuelewa ww ni mtu wa aina gani)
Wewe kamaunazipenda hakuna anayekuona donge endelea nazo. Wengine mbali na ulinzi walio uimarisha hatuoni cha ziada.
😀😀 Sawa mkuu tuko pamoja🤝kimechemka hapa ngoja nikiache kipoe.Sawa mkuu pambana na tecno yako
Tupo wengi nduguu sio wewe pekeyakoSijawahi vutiwa na iPhone sijui ndio ushamba wangu.
[emoji3][emoji3] Sawa mkuu tuko pamoja🤝kimechemka hapa ngoja nikiache kipoe.
Hebu nifafanulie huo ubora wake Mkuu.Tofauti ni ubora tutu... iPhone and other flagships smartphones ni nzuri na tamu kiasi kwamba ukishika tecno utaona ni uchafu
Hebu nifafanulie huo ubora wake Mkuu.
Thanks,
InfinixMfano kwa kulinganisha na simu ipi?
Infinix
Huenda ukawa hujawahi kuitumia na Kama umeitumia Basi kwa muda mfupi. Ila hizi product za Apple ukizitumia vizuri lazima zikufanye uwe na addiction nazo.Sijawahi vutiwa na iPhone sijui ndio ushamba wangu.
Wewe una dharau kwa Dini ya mwenzio ila ukiguswa kidg tu unalaani laani
Hujanijibu swali langu mbona?Mkuu infinix ni trash
Hujanijibu swali langu mbona?
Mimi nimekuomba uniambie ubora wa Iphone dhidi ya Infinix na simu za brand nyingine.