mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,313
baada ya minong'ono ya muda mrefu kwamba Apple katika simu zao za 2020, ambazo zinatarajiwa kuwa apple iphone 9(se 2)12,12pro,12 pro max, kuhamia usb type c, sasa kama kawaida yao wazee suprise wamekwepa umbea na kuamua kuja na idea yao mpya kabisa,wanatoa kabisa tundu la charger,hivyo hatutarajii tena kutumia simu ikiwa ina chajiwa.
japokuwa wadau mbali mbali wametabiri changamoto katika uhamishaji wa data kutoka katika vifaa nje ya ecosystem ya apple,lakini bado apple wanaonyesha wamejipanga kabisa na mabadiliko hato,kwani hiyo wireless charger itakuwa na uwezo huo wa kuhamisha files pia.
ndio, tech inakwenda kasi, tusubiri Mkorea atakuja na kitu gani kama jibu.