hio score imetokana na mjumuisho wa mazingira mbalimbali ambayo yote yapo kwenye hio page soma mwanzo hadi mwisho, na picha zipo unaona kwa macho yako.
angalia hii video
hapo unaona shake za iphone x kwenye video? imekuwa completely destroyed na pixel 2. lakini Dxomark wanatake consideration shake ya mkono? hapana hawaangalii, wana assume sisi ni marobot na mikono yetu haishake hata kidogo ndio maana wakapima simu na tripod.
kuna vitu vingi sana kwenye camera kama vile
-optical image stabilization ambayo inaruhusu mwanga na kupunguza shake za mikono
-Electronic Image stabilization, ambayo ni kama ois hapo juu sema hii inafanywa kwenye software.
google pixel 2 ina vyote viwili hivyo, ndio maana unaona ni way better kuliko iphone x in real life kwenye stabilization.
sasa ningeamini kwamba Dxomark ni benchamrk sahihi zaidi na nisifuatilie zaidi ningejua haya?
DxOMark awards iPhone X camera the highest score yet for photos
hata gsmarena utaona mwanzo wamepiga kijembe hapo.