elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
I will be back
I will be back
Noma sana mkuu, hawa jamaa wameshindikana mimi nimeamua si upgrade simu mpaka ije iphone xi, maana mwaka 2012 if not 2013 wali file patent za curved display nasubiri watoe simu yenye curved display nihamie huko.Mkuu Mjadala tumshaufunga hapa, labda tufungue uzi mwingine ..
![]()
Noma sana mkuu, hawa jamaa wameshindikana mimi nimeamua si upgrade simu mpaka ije iphone xi, maana mwaka 2012 if not 2013 wali file patent za curved display nasubiri watoe simu yenye curved display nihamie huko.
Ila wakichelewa ntahalia iphone X siwez nunua 7 wala 8 naona hazina tofauti sana na 6
Siku iphone akitoa curve haitakuwa kwa ajili ya shortcuts itakuwa na cha ziada ndiyo maana naisubiri kwa hamu sanaTeh teh , kwa curved display nazoziona naona hazina maana zaidi ya show off , watu walidai curved screen ni kwa ajiri ya kuweka shortcuts lakini shortcut nzuri inakaa kwa chini ndo the easiest ku access kwa hiyo curved inabaki show tu . Labda apple kama kawaida waifanyie kazi iwe na maana zaidi ya show.
Maana wao hawaweki kitu mpaka kiwe na maana , kama hakina maana bora wasiweke kabisa.
labda mimi sijui kingereza mkuu, hebu nitafsirie maana ya few are good or better than this including iphone 8, hapo anazungumzia hio accuracy ya rangi,Mkuu bado hujasoma vizuri , hata hao gsm arena wamesifia, leta snap wanposema imezidiwa kwenye accuracy , snap weka hapa,
Angalia gsm walivoongelea accuracy ya iphone x , na conclusion waliyofanya
![]()
Hawa ni gsm arena mkuu
![]()
Kwa kifupi wote wanasema ni best display ever , hiyo ni baada ya kuunganisha factor zote.
Nimekwambia mambo ya soko kwa sababu customers ndo wana judge quality , na niliweka pale kumaanisha kwamba ukiachana na watu technical walioikubali iphone X pia customers wame respond the same way.
Kifupi ni bora kuliko simu zote, gsm na displaymate wame conclude hivo. Leta site nyingine unayoiamini hawa wamekukana
Kwani shortcuts zimekataa kukaa huko pembeni ndugu,au vile wewe hutaki zikae huko????strategy ya biashara ya simu ni matumizi sambamba na urembo mkuu,ukiacha kimoja hapo hutaeleweka.Teh teh , kwa curved display nazoziona naona hazina maana zaidi ya show off , watu walidai curved screen ni kwa ajiri ya kuweka shortcuts lakini shortcut nzuri inakaa kwa chini ndo the easiest ku access kwa hiyo curved inabaki show tu . Labda apple kama kawaida waifanyie kazi iwe na maana zaidi ya show.
Maana wao hawaweki kitu mpaka kiwe na maana , kama hakina maana bora wasiweke kabisa.
labda mimi sijui kingereza mkuu, hebu nitafsirie maana ya few are good or better than this including iphone 8, hapo anazungumzia hio accuracy ya rangi,
na hapo kwenye sunlight sio better than all display ni better than amoled/oled/poled display, hakuna panel yoyote ya oled inayoweza shindana na lcd panel. na vyote contrast ratio, sunlight visibility na brightness ni kitu kimoja tu.
Ataweka hata kwa ajiri ya urembo tu,hili haliko mbali.maana iphone x imemaliza,imefika mwisho kabisa wa design.umeishafikiria mwakani ataongeza kitu gani kipya pale???labda ataondoa ile bezel pale juu.Siku iphone akitoa curve haitakuwa kwa ajili ya shortcuts itakuwa na cha ziada ndiyo maana naisubiri kwa hamu sana
Kwani shortcuts zimekataa kukaa huko pembeni ndugu,au vile wewe hutaki zikae huko????strategy ya biashara ya simu ni matumizi sambamba na urembo mkuu,ukiacha kimoja hapo hutaeleweka.
Leo hii samsungung anaonekana kashinda ktk hili,sababu simu ina mvuto wa ajabu na perfomance sio ya kizembe.labda uniambie ktk hili la kuboresha iphone x kaboresha nini ktk wiress charger tofauti na wenzie waliomtangulia miaka mitatu iliyopita.
Haya mambo hayapendezi ukiweka ushabiki sana,unaharibu.
Iphone akitoa simu ujue kuna nyingine ishaanza kuandaliwaAtaweka hata kwa ajiri ya urembo tu,hili haliko mbali.maana iphone x imemaliza,imefika mwisho kabisa wa design.umeishafikiria mwakani ataongeza kitu gani kipya pale???labda ataondoa hile bezel pale juu.
Namimi nikauliza,si ni kweli kwamba shortcut zinakaa huko???ni wewe utumia au uache.Umeni quote vibaya mkuu , hapo nimesema clear kwamba curved ni show (beauty) , sasa apple huwa wanapenda beauty iendane na functionality yan waweke kitu si tu kipendeze bali kifanye kazi .
Aisee.kama walitoa simu wakaandaa nyingine basi walitoa iphone 6s/plus wakiandaa iphone x.Iphone akitoa simu ujue kuna nyingine ishaanza kuandaliwa
Tofauti yake ni processors, perfomance na mambo ambayo mtumiaji wa kawaida hawawezi ya note.Aisee.kama walitoa simu wakaandaa nyingine basi walitoa iphone 6s/plus wakiandaa iphone x.
Hizi nyingine zilikuwa ni six kwa rangi na jina lingine.
oh tuanze ule ubishani wa zamani, you cant design oled ikaendelea kuitwa oled tulishalizungumzia sana hapa, samsung alivyomodify oled ikatwa amoled, hii oled mpya inayojikunja inaitwa poled etc Apple aki design upya hicho kioo kitaitwa tu jina jengine mfano ioled etc kama angekuwa amedesign Apple kwanini achajiwe bei kubwa hivyo? hio display ndio most expensive part ya iphone x. na hata hao displaymate wamesema Apple amefanya calibration nzuri, kwa uelewa wangu calibration ni post manufacturing, inafanywa kwenye ios (software) baada ya device kuwa assembled.Hiyo iko clear kabisa , Gsm arena wamedhibitisha display ya iphone x na hapo wanajaribu kuweka chance ya simu myingine kuwa kama X ndo maana wamesema “few are as good” or better na wakaweka bracket , nje ya bracket wakaweka iphone 8 kwa maana kwamba ubora wa iphone 8 ni sawa au zaidi ya iphone x kwenye colour, sasa hapo ni dillema which means hawana uhakika kama hizi simu ni sawa au 8 imezidi. Kwa statement hiyo na bracket hizo huwezi sema iphone 8 colour accuracy is better than X kwa reference ya gsm arena . Upande wa Displaymet wamesema kabisa kwamba hawajawahi kupata vipimo bora kama iphone X . Sasa ukichanganya majibu ya gsmarena na Displaymate ndo unapata majibu vizuri.
Kumbuka hii Oled wame design apple wenyewe then wakampa samsung akatengeneza , hii inatufundisha nini ? Ni kwamba apple wamefanyika kazi mapungufu ya OLED na bado wakatafuta best maker wa hizi OLED. Mchanganyiko huu ndo umeleta ubora huu.
Sasa hapo tutakuwa tunatafuta utofauti kwa torch,iphone x ni simu inayojitambulisha yenyewe kwa wadogo zake.haihitaji mkalimani.Tofauti yake ni processors, perfomance na mambo ambayo mtumiaji wa kawaida hawawezi ya note.
Watu wana note utofauti wa vitu kwa maumbo, ni sawa na updates za OS kama icones zisipobadirika mtumiaji anashangaa sasa nime update nini...
Hivi kwanza ulipo ni quote mwanzo ulikuwa wasema nini labda sikukuelewaSasa hapo tutakuwa tunatafuta utofauti kwa torch,iphone x ni simu inayojitambulisha yenyewe kwa wadogo zake.haihitaji mkalimani.
Muundo tofauti kabisa.
Kioo kikubwa.
Wireless charge.
Nguvu nyingi.
Face unloking.
No home button.
Kioo cha kupinda pembeni.Wakuu screen curve ndio ikoje? Mm natumia techo y6 naomben mnifahamishe..
Asante mkuu..Kioo cha kupinda pembeni.