Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,393
mkuu nakubaliana na wewe kuhusu future proof, good point. ila kwa experience yangu si cpu tu bali storage, ram, gpu etc pia vinatakiwa viwe on par na cpu ili visikulimit hapo baadae, mfano iphone 4 ilikuwa nzito sana kwenye ios 7, pengine sio cpu ilio bottleneck bali ni storage au ram. unafkiri huo mwaka unaosema 2GB itatosha?Chief mimi nitaongelea sifa ulizozitaja kwenye sim ya samsung.
Ukifuatilia utagundua apple uwa haweki vitu ambavyo havina maana kwenye vifaa vyake ili mradi tu kuipa specification kubwa kifaa.
Ebu tuseme ukweli, hivi mtu serious kabisa anaweza unga keyboard kwenye simu aanze kuchapa kazi?
Tablet zenyewe sometimes zinazingua. Utaona hiyo kitu basi katika uhalisia ni mbwembwe tu.
Umesema iphone x ina processor kubwa ambayo hakuna kitu unachoweza kufanya kwenye hiyo processor ukaiutilize to the maximum.
Lakini kumbuka hii device inaweza kuendelea kuwepo sokon na kupokea updates mpaka hata mwaka 2025, upgrades za ios, apps huko mbeleni zinaweza kuhitaji hiyo power.
Iphone 5s mpaka sasa inapokea upgrades na iko sokon zaidi ya miaka 5 iliyopita, so na hii iphone x itakuwepo sana.
Umesema kwanini iphone iuzwe bei hiyo wakati haiwezi kufanya ambayo hiyo samsung uliyoitaja?
Jiulize kwanini s8, inauzwa bei ghali kuliko hiyo samsung uliyotaja wakati kwa maelezo yako ndiyo bora kwako?
Jambo lingine nadhani ndipo apple anawashinda wengi, ameweza kutengenisha baina ya matumizi ya device moja na nyingine.
Mfano tablet haijaipa uwezo wa kupokea simu kwasababu siyo lengo lake kuwa simu.
Kuipa simu mara iwekwe keyboard uchape, mara sijui uinge na hdmi utazame movie kwa tv n.k sometimes ni akward maana kuna vifaa vizuri vya kufanya hivyo, kama laptop, kama tv ipo apple tv.
Kuna specifications ambazo unakuta samsung anaweka lakini in real life watu hata hazitumui yale yale ya air gestures.
Ukitaka kitu flani lazima upoteze kingine.
Yale yale ya blackberry ambao walidhani iphone atafail kwakuwa simu yake haitokuwa inakaa na chaji, kumbe consumers did not care about that by the time.
Watu wanapenda vitu portable saa nyingine hata bila kujali durability yake ili mradi wako comfortable na kitu walichobeba.
Mwisho big up chief na Island kwa huu mjadara mmetuonyesha mengi
kuhusu keyboard na mouse mkuu kuna situation nyingi sana zinaweza tokea, mfano.
-natengeneza tutorial ya kitu fulani online, either kipindi cha tv au youtube, inapendeza zaidi ukitumia hivyo, mtazamaji hataviona hivyo vifaa ila atapata tutorial nzuri kwa kuona maandishi yakitokeza bila keyboard ku pop up, au mshale ukielekeza bila kidole kuingilia. kama umewahi ku consider au kushoot simu utaelewa hapa challenge za kivuli, kwili kuziba kifaa etc.
-sometime unaweza tumia kitu kama samsung dex, siku hizi inasupport full linux, natumia simu yangu kama computer nitahitaji mouse na keyboard.
-pia unaweza tumia kwenye tv pale unapotumia simu yako.
na mkuu usi assume maisha ni kazini na nyumbani, upo home na tv na Apple tv ukitoka hapo ni job, kuna watu wanahangaika wanaishi guest kushinda nyumbani, wanapanda ndege wanakaa zaidi kushinda nyumbani etc.
assume upo safari ya kikazi upo guest na kuna tv umeekewa, nikiwa na miracast yangu au MHL yangu nachomeka tu kwenye tv, voila nafanya mambo yangu. na keyboard na mouse usi assume lile li kubwa na mouse kama kiganja cha mkono, zipo ambazo ni portbale sana.