The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,798
Mkoa gani 4G ya voda ni tatizo?4G ya voda mikoani tu tatizo hivi hawa kwanini wasinalizane na uwekezaji wa uhakika wa ngazi moja kisha waende nyingine tofaut na kurukaruka tu
voda wanajitahidi,hawa wengine waganga njaa tu.Mkoa gani 4G ya voda ni tatizo?
Mimi nafanya kazi ya kuzunguka hii nchi yote kila mwaka mtandao pekee wenye internet ya kueleweka ni Vodacom tu, uzuri wao kama hakuna mtandao basi haupo, maana yake hata wa voice unakua haupo. Ila kama voice upo basi ni 4G ya kueleweka. Kama upo upo, kama hawana coverage basi hawana.
Vodacom kwa internet Tanzania hana mpinzani.
Huyo ni isheep mkuu. Hao ndio wale apple akiwaambia kugawa makalio ni sawa watagawa as long as apple kasema.hapa ndio huwa naona unayumba mkuu.
uliishasifia resoln 720p ya iphone kipindi cha nyuma,ukasema apple haoni haja ya kuweka resoln kubwa kwenye vioo vyake,leo hii wako 2532p utaisifia.
yaani kitu kinakuwa kibaya kisipotumiwa na apple,sio mahaba haya sasa ni jambo jingine.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mkuu umewahi kufika ruangwa lindi, umewahi kufika mnero nachingwea, umewahi kufika chidya masasi? Tuishie hpo Tanzania ni kubwa sema umebahatika tu kufika maeneo mengi ambako vodacom imefikaMkoa gani 4G ya voda ni tatizo?
Mimi nafanya kazi ya kuzunguka hii nchi yote kila mwaka mtandao pekee wenye internet ya kueleweka ni Vodacom tu, uzuri wao kama hakuna mtandao basi haupo, maana yake hata wa voice unakua haupo. Ila kama voice upo basi ni 4G ya kueleweka. Kama upo upo, kama hawana coverage basi hawana.
Vodacom kwa internet Tanzania hana mpinzani.
3G au LTE imewekwa sehemu ambazo zipo likely kupata wateja wengi.
Kumbuka ile ni investment kubwa na lazima irudishe hela. Kuweka minara ya 3G au LTE porini au vijijini hata wewe ungekuwa MD wa kampuni ya simu ungekataa.
Kwahiyo 5G naona itakuja ikianza kwenye majiji na sehemu zenye wateja wakubwa kwa kampuni husika.
Nipe somo kidogo nn faida ya 5g mbali na internet speed?Tulikuwa ni kati ya nchi za mwanzo kabisa kupata 4g Duniani na Smile.
Sema 5G sio speed tu ina mambo mengi sana na nahisi hapa kwetu bado watu wamelala hasa upande wa internet of things, hivyo itakuwa ngumu kwa isp kurudisha hela yake haraka.
Ila naona Voda wametangaza wapo kwenye Mazungumzo na Tcra kuleta 5g.
iPhone sio maendeleo ni gereza tu
kikubwa ni latency ambayo wanayolenga ni 1 ama 2ms, hizi ni level za waya. ukiwa na 4g ile response inakuwa kubwa na mambo yanafanyika haraka haraka hasa machine.Nipe somo kidogo nn faida ya 5g mbali na internet speed?
smile wanayoKiongozi hivi kuna kampuni ya simu bongo inayotoa volte, je kama ni ipo hii inategemea tu isp au na device yenyewe? Manake nimekua nikiwaona rafiki zangu wakenya mara nying wakiscreen short kitu pale juu panasoma volte na pia normall calls zao zinakua na neno H. D mwishoni
retina is better than amoled
mnachanganya madesa, Retina sio type ya display bali ni resolution tu, ndio maana japo Iphone x ilikuwa ikitumia super amoled bado iliitwa retina.True , amoled kapitwa siku nyingi sana.
Sijakuelewa hapa boss so siwezi kua na voda nikapiga simu airtel hd, na kama ni airtel kwa airtel haihitaji kuwasha data ni just a setting flan ausmile wanayo
na kama Volte inavyokuwa ni kupigia simu kupitia 4g, hd call ni kupiga simu kupitia 3g.
nimetumia sana HD call na Airtel, ili upate watu wawili wawe na smartphone nzuri na wote watumie Airtel, sauti inatoka clear kama studio.
chaja ndo zile zile ila Apple wana tabia ya kuita vitu vyao majina ya kusifia sifia ili vionekane tofauti.Nifafanulie kuhusu hizo chadger zake zikoje jamani
Cc CHIEF MKWAWA
a nitajikongoja angalau niwe na infinix hizo iphone bei ya kioo ndo yanitisha
kwa uelewa wangu kibongo bongo mpaka mtumie mtandao mmoja. na hd voice haina setting unapiga tu inakuwa automatic.Sijakuelewa hapa boss so siwezi kua na voda nikapiga simu airtel hd, na kama ni airtel kwa airtel haihitaji kuwasha data ni just a setting flan au
ni kweli, hata huko ulaya wanaweka maeneo machache tu, frequency za 5g ya ukweli hazina uwezo wa kwenda mbali.Nahisi hata hiyo 5G itakuwa maeneo machache sana.
Asante nimekuelewa na sio lazima i display neno hd mbele ya namba au jina la mpigaji, manake kuna siku nikipiga simu nikiwa lindi kwenda Meatu huko shinyanga aliepokea akawa ananiambia ananisikia vizuri sana kama yuko nami eneo moja nadhani hii ndio ilikua hd yenyewe, wote tulikua voda to voda na ana xiaomi note 8 kama yangkwa uelewa wangu kibongo bongo mpaka mtumie mtandao mmoja. na hd voice haina setting unapiga tu inakuwa automatic.
yah kitu kama hicho mkuu, sasa hio ni HD voice, vo lte ni zaidi ya hio.Asante nimekuelewa na sio lazima i display neno hd mbele ya namba au jina la mpigaji, manake kuna siku nikipiga simu nikiwa lindi kwenda Meatu huko shinyanga aliepokea akawa ananiambia ananisikia vizuri sana kama yuko nami eneo moja nadhani hii ndio ilikua hd yenyewe, wote tulikua voda to voda na ana xiaomi note 8 kama yang
Duuh nimekupata wenzet wako mbali Kenyan simu zao jamaa zangu ukimwambia ascreen short tu balaa volte lazima ionekane bongo sijui liniyah kitu kama hicho mkuu, sasa hio ni HD voice, vo lte ni zaidi ya hio.
Battery walisema mapema unakuwa ndogo kwa kuwa gharama zingekuwa kubwa kama wangetumia best tech kutengeneza battery nzuri zaidi. Ila sasa tatizo 5G antenna inakula sana charge. Pia wanadai chip yao ya A14 ni latest inatumia charge kidogo.Mkuu chief ndo nimemaliza kusoma reviews mbalimbali za wadau kuhusu hiyo brand mtandaoni.
Asilimia 95 wamelaumu sana kukosekana kwa 120hz display hii ni nini? Na ni upi ubora wa hyo 120hz maana hata sielewi japo kila mchangiaji kashangaa... kingine wamelaumu kuhusu battery na notch wewe wazungumziaje?
Battery walisema mapema unakuwa ndogo kwa kuwa gharama zingekuwa kubwa kama wangetumia best tech kutengeneza battery nzuri zaidi. Ila sasa tatizo 5G antenna inakula sana charge. Pia wanadai chip yao ya A14 ni latest inatumia charge kidogo.
Kuhusu 120Hz hiyo ni refresh rate ambayo kwa sasa flagship zote zinatumia 120Hz ila sasa hii iPhone hawakutaka. Sababu sijui ni nini ila tunajua iPhone sio simu the best kwa games performance. Refresh rate ya juu zaidi huonesha graphics vizuri na kufanya actions kama kulipuka au kwenda kwa kasi zionekane vizuri zaidi. Ukiwa na 60Hz mimi nikawa na 120Hz tukacheza game mimi kuna vitu nitaviona ila wewe uone ni kama giza au blurred.
120Hz = mara 120 kwa sekunde.