wacha kujifariji bana.Mimi nadunda na infinix hot 8 lite karibia mwaka Sasa. Nilinunua kwa 220,000 Mbeya.
Sioni anachonizidi mwenye i4n daaadeq
Utauzoea tuYaani muonekano wa hapo juu sio wa kuvutia.
Labda mambo mengine huko ndani
ushatumia iPhone highend ya mwaka husika ukajua haina lolote kwa infinix yako?Mimi nadunda na infinix hot 8 lite karibia mwaka Sasa. Nilinunua kwa 220,000 Mbeya.
Sioni anachonizidi mwenye i4n daaadeq
Mkuu kwa ufupi simu niliyonayo inatosha. Mpaka naigeuza inakuwa modem, nagawa wifi, nataka Nini Cha zaidiushatumia iPhone highend ya mwaka husika ukajua haina lolote kwa infinix yako?
Yaani isheep wao apple akisema hiki hakitaki au hakiweki basi na wao wanasema apple hajaweka sio cha muhimu.kuna iship mmoja aliponda sana 5g sa samsung kwamba ni gimic.kwa vile 5g haijaenea sana apple hawawezi kuiweka.
apple wanajua soko kuliko wafuasi wake wanaowasemea.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa ufupi simu niliyonayo inatosha. Mpaka naigeuza inakuwa modem, nagawa wifi, nataka Nini Cha zaidi
Hata google pixel hua yuko hivo. Mp chache ila ubora uko juuHawa jamaa bhana camera zao huwa wanafanyaje? utakuta 12mp camera kali kuliko 108mp za simu zingne naelewa somo la mega pixels...ila wao huwa wanafabyaje nauliza
Kwamba simu inauzwa bila charger? Sasa utachajia nini?Leo anawaambia hatoi charger kwa sababu ya kimazingira lakini anasema ukiihitaji unaweza kununua. Kwamba ukinunua seperate huharibu mazingira ila ikija na simu inaharibu mazingira na makondoo yanachekelea tu. Halafu watu kama hao wanawacheka waumini wa mzee wa upako au wa Gwajima.
Sema Android imekuwa ya kipuuzi sana.Kwanza. Iphone za wadada vidume Ngoja tuendelee kutumia TECNO
Mkuu suala la battery usiangalie namba subiri reviews maana linaangalia vitu vingi sana ikiwemo quality ya display na processor. Ni kawaida sana simu yenye 2700mah kuikimbiza yenye 4000mah.Mkuu chief ndo nimemaliza kusoma reviews mbalimbali za wadau kuhusu hiyo brand mtandaoni.
Asilimia 95 wamelaumu sana kukosekana kwa 120hz display hii ni nini? Na ni upi ubora wa hyo 120hz maana hata sielewi japo kila mchangiaji kashangaa... kingine wamelaumu kuhusu battery na notch wewe wazungumziaje?
Hata iphone mpya kila saa system update. Updates ni jambo jema sio baya.Sema Android imekuwa ya kipuuzi sana.
Kila wakati system update mara please wait.
Pesa tu ndio shida, ila iphone is worth it. Sio lazima iwe latest version
Tafuta pesa acha ujinga.Mkuu kwa ufupi simu niliyonayo inatosha. Mpaka naigeuza inakuwa modem, nagawa wifi, nataka Nini Cha zaidi
Mwanaume unatumiaje iPhone et!
Tumia tecno tena kioo kiwe na krek za maana
Kwamba simu inauzwa bila charger? Sasa utachajia nini?