Mnajipa moyo utadhani wanatengeneza juice za azam.
Hizo chip sets zinahitaji years of research K
Mwaka Huu Kirin 9000 ndio kawabatua na hiyo Mwakani unayosema Huawei watakufa kifo cha mende Kirin ipo kama kawaida watu washapewa green light huko we endelea na stori za kuuza miwa.Unaongea kirahisi kama unatengeneza juisi za azam.
Huawei mwakani anakufa kifo cha mende.
Ni sawa na uwaambie Boeing wanaotengeneza ndege na vifaa vyote ndani ya ndege watengeneze wao.
Hata apple hatengenezi kila kitu kwake ni OS na Chip Set, vingine anaagiza
Hakuna Jeneza na wala Hafi mtu.mfano mzuri hio mate 40 inakuja na cortex A77, ina maana Huawei ameshindwa kupata Cortex A78 ama cortex X1 zitakazokuja kwenye Samsung na simu Nyengine za Snapdragon, ameshindwa kupata sababu Arm ni mshirika wa marekani.
hata Huawei akiwa na Os yake na kiwanda cha semi conductor, bila tech ya arm atatengeneza nini?
jeneza la Huawei lilifungwa pale Nvidia aliponunua Arm toka kwa softbank. sasa hivi watatumia stock yao ya soc zikiisha hawatengenezi tena simu, na si maneno yangu haya
Huawei: Smartphone chips running out under US sanctions
Umeelewa kilichoandikwa hapo? Unaijua 28nm?Hakuna Jeneza na wala Hafi mtu.
TSMC gets license allowing it to ship chips to Huawei; however, there is a major caveat
TSMC has reportedly received a license allowing it to ship chips to Huawei. However, the chips covered by the license are manufactured using mature process nodes of 28nm and larger.www.google.com
Najua.Kama kushindwa kushikilia cm ndo u gimmick wenyewe basi itakuwa gimmick . Lakini kazi ya magsafe siyo hiyo hata ukienda web ya Apple Hamna kitu kama hicho. Ile siyo holder mkuu ni charger
Akili zako ndo zinakuambia kwamba watu wananunua simu kisa processor.Mwaka Huu Kirin 9000 ndio kawabatua na hiyo Mwakani unayosema Huawei watakufa kifo cha mende Kirin ipo kama kawaida watu washapewa green light huko we endelea na stori za kuuza miwa.
Unaitwa ukondoo, usiopambe kwa kuuita u loyal, ni ukondoo.Kinachowafanya waendelee kuwa juu ni brand loyalty. Sijaona kampuni nyingine yenye wateja loyal kama Apple...nadhani kama blackberry angedumu mpk leo ndio angeweza mpa shida stahili tunda
Nisiijue wakati ndio naitumia kwenye grand primeUmeelewa kilichoandikwa hapo? Unaijua 28nm?
Ndio maana kwasasa kuna 5nm si wangebaki tu 28nmAkili zako ndo zinakuambia kwamba watu wananunua simu kisa processor.
Kwamba wakitumia 28nm ndio wataacha kutengeneza simu ?Umeelewa kilichoandikwa hapo? Unaijua 28nm?
Hebu tuambie basiNisiijue wakati ndio naitumia kwenye grand prime
Haya ni mambo ya laptop hayana mahusiano yoyote na simu, na laptop za Huawei ni kidogo sana hazina impact yoyote, pia wanauza tu huko kwao China.
i🐑....😂Unaitwa ukondoo, usiopambe kwa kuuita u loyal, ni ukondoo.
Ilikuaje ukanunua kopo?Wakuu mi na iPhone 11 ina tatizo la kutokuwepo na mnara wa internet na sipati nternert naombeni msaada tafadhali.
Ila siku Iko fresh kabisa
Naitaji msaada kakaIlikuaje ukanunua kopo?
Kama hiyo simu ipo na warranty irudishe dukani wakupe nyingine.Wakuu mi na iPhone 11 ina tatizo la kutokuwepo na mnara wa internet na sipati nternert naombeni msaada tafadhali.
Ila siku Iko fresh kabisa
Wakuu mi na iPhone 11 ina tatizo la kutokuwepo na mnara wa internet na sipati nternert naombeni msaada tafadhali.
Ila siku Iko fresh kabisa
Za Makumbusho hazina Warranty Mkuu😁😁Kama hiyo simu ipo na warranty irudishe dukani wakupe nyingine.
Hakikisha unaijaribu hapohapo. Kama itasumbua na hiyo mpya inawezekana shida ikawa mtandao wa simu unaotumia.