Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
amedesign Apple hio soc, lakini still haiprove kwamba memory amedesign apple, hawana ujuzi huo wa kudesign hizo memory. haya mambo sio ya mchezo mchezo ukafkiri kila kampuni inaweza fanya kitu fulani.Nani ame - design Ax series of SoCs au nani ame-design zephyr na Hurricane core architecture? halafu mwaka jana Apple katumia 10.3bn$ na samsung katumia 13bn$, hivyo siyo vijisenti ila tu ni kwamba apple gets more bucks for its R&D.
The issue here is not, spending but innovation (not counting washing machines and things like blenders and cookers).
na hiyo 10b si mwaka mmoja? na tetesi hazijaenda kwenye simu bali na wao wanataka kutengeneza gari zinazojiendesha zenyewe aka project titan.
je kabla ya hio project miaka iliopita apple anaspend kiasi gani? hili graph linaonesha
na usimtetee apple kwamba anspend vichache na ku innovate sana, unaweza nitajia vitu alivyo innovate?
hata hizo soc wanazodesign wana kesi kibao mahakamani kuiba Technology za watu.
hawa jamaa ni hela tu kwenda mbele ndio wanachojali na kuwaridhisha wawekezaji wao ila contribution yao kwenye technology ni ndogo sana.