Apple hawataki tena kutengenezewa Soc na Samsung.

Mkuu hiyo Nokia 9210 communicator ilikuwa na kikomo chake cha ku support hiyo mmc,kumbuka hata kama kipindi hicho kulikuwa na mmc ya 5gb but it was for the cameras not symbian.Naweza kukupa mfano n72 ya 2005 mwisho wa ku-support MMC ni 2GB kipindi hiko ulikuwa ukinunua hiyo 9210 unakuta na 16mb MMC.
Sasa huwezi linganisha kabisa ipod na hiyo Symbian kwanza first generation ipod 2001 zilikuwa aina mbili moja ina 5gb kwa 399 usd na nyingine 10gb kwa 499usd na zilikuwa zinatumia hhd ndogo,Hapo hiyo communicator yako ilikuwa hata 2gb haisapoti.
Mwenye ipod akiwa na 5gb anaweka hadi songs 1000 kitu ambacho Symbian hakikuwepo.Kwa hiyo ipod ilileta changes kwenye Music industry usikatae mkuu.
Kama kuna symbian ya 2001 ilikuwa ina support hata 1gb? naomba unifahamishe. Hiyo 9210 mwisho ilikuwa 128mb,that is why hata price ya ipod ilikuwa juu.
Pia napenda kufahamu kwa kipindi hicho kama ningenunua hiyo 9210 nokia
1.Ningeweka nyimbo ngapi?
2.Ningeweka movies ngapi?
Sishangai hata kidogo hiyo Symbian yako ya 2001 kwani mwaka 1992 kulikuwa na kifaa kinaitwa Simon toka IBM ndiyo ilikuwa communicator ya kwanza yenye feature za smartphone.
Ndio kifaa cha kwanza cha mawasiliano kuuzwa chenye touch screen.
Simon%20c.png

Kwa hiyo mkuu watu walikuwa nondo toka kipindi hiko.
Simon%20screen%20d2.png

Nokia ya 1992
Nokia-Talkman-620-NMT450.jpg

kwa theory MMC inaenda hadi 2TB (mara 400 ya hio ipod), ila sidhani kama walifanikiwa kufikia hio storage.

hii hapa MMC ya Nokia 9210 ya 4GB
4GB Transcend 150x MMC Plus MultiMedia Card High Speed

hapa ukumbuke yafuatayo
-MMC ni kuingia na kutoka unaweza kuwa nazo hata 10 ukaeka miziki unlimited
-ipod haina compression yoyote, hivyo nyimbo zinaingia chache compare na kifaa kinachoingia apps na sauti au video ambazo zipo compressed, mimi sio mtu wa audio sana ila kwa video movie ya 4GB inaweza kuwa compressed hadi 700mb kwa kutumia x264 na kwa x265 inashuka zaidi kutegemeana na coder, kuna watu wanazileta hadi around 300mb.

kwa multimedia card ya 4GB na nyimbo ambazo zipo compressed kwa high quality zinaingia 1300, na quality ya kawaida around 4000
 
mkuu kampui kama hizi ni kubwa, aliechemka ni samsung mtengeneza battery (kama walivyosema) au aliedesign hizo system charging (kama rumors ni za kweli),

huyu samsung anaemanufacture cpu, nand flash, dram, etc ni mwengine kabisa, wote wapo chini ya mwemvuli wa samsung lakini wapo tofauti ki utendaji
agalia hapa
Category:Samsung Electronics - Wikipedia
na hapa
Category:Samsung subsidiaries - Wikipedia

mimi nawakubali sana hawa jamaa wa display, storage, ram, cpu etc wamefanya mabadiliko makubwa sana kwenye ulimwengu wa technology na nafikiri hawapati respect ya kutosha
Nimeshangaa sana ngoja nirudi.
 
Mkuu hiyo Nokia 9210 communicator ilikuwa na kikomo chake cha ku support hiyo mmc,kumbuka hata kama kipindi hicho kulikuwa na mmc ya 5gb but it was for the cameras not symbian.Naweza kukupa mfano n72 ya 2005 mwisho wa ku-support MMC ni 2GB kipindi hiko ulikuwa ukinunua hiyo 9210 unakuta na 16mb MMC.
Sasa huwezi linganisha kabisa ipod na hiyo Symbian kwanza first generation ipod 2001 zilikuwa aina mbili moja ina 5gb kwa 399 usd na nyingine 10gb kwa 499usd na zilikuwa zinatumia hhd ndogo,Hapo hiyo communicator yako ilikuwa hata 2gb haisapoti.
Mwenye ipod akiwa na 5gb anaweka hadi songs 1000 kitu ambacho Symbian hakikuwepo.Kwa hiyo ipod ilileta changes kwenye Music industry usikatae mkuu.
Kama kuna symbian ya 2001 ilikuwa ina support hata 1gb? naomba unifahamishe. Hiyo 9210 mwisho ilikuwa 128mb,that is why hata price ya ipod ilikuwa juu.
Pia napenda kufahamu kwa kipindi hicho kama ningenunua hiyo 9210 nokia
1.Ningeweka nyimbo ngapi?
2.Ningeweka movies ngapi?
Sishangai hata kidogo hiyo Symbian yako ya 2001 kwani mwaka 1992 kulikuwa na kifaa kinaitwa Simon toka IBM ndiyo ilikuwa communicator ya kwanza yenye feature za smartphone.
Ndio kifaa cha kwanza cha mawasiliano kuuzwa chenye touch screen.
Simon%20c.png

Kwa hiyo mkuu watu walikuwa nondo toka kipindi hiko.
Simon%20screen%20d2.png

Nokia ya 1992
Nokia-Talkman-620-NMT450.jpg

mkuu sijui imeingiaje maneno ya ibm simon na ubishi wa symbian na ipod ila ngoja nikuambie kitu.

mimi sehemu nyingi nime debate hiki kitu ibm simon haikua smartphone sababu ni hizi

1. ina apps limited unachagua wakati smartphone inatakiwa iwe na apps unlimited kila siku developers wanatengeneza mpya, leo hii kuna utofauti gani wa ibm simon na nokia asha? tena asha ipo more advanced kuliko ibm simon

2. haina multitasking, unafanya kitu kimoja badala ya chengine

hio ilikuwa tu feature phone yenye touch screen.

na nokia ya 1992 haikuwa hio tu, zilikuwepo portable, nenda site ya gsmhistory uifahamu historia ya simu vizuri. wakati huo Nokia yupo busy kutengeneza 2G, Gprs na edge kwa ajili ya mawasiliano ya simu mpaka leo hii tunawasiliana na kutuma na kupost msg kwa mobile data hivi shukrani ziwaendee Nokia na Ericson kipindi hicho ambao walistrugle kuitengeneza.
 
Baada ya Samsung kufanya manufacturing ya soc za apple kuanzia processor aina ya APL0098 mnamo mwaka 2007.
APL0278 mnamo mwaka 2008.
APL2298 mwaka 2009 katika iphone 3G.
Na baadaye A series kwa kuanza na A4.
A5 manufactured by samsung
A5X manufactured by samsung.
A6 manufactured by samsung
A6X manufactured by samsung
A7 manufactured by samsung
Apple sikujua waliwaza nini baada ya kutoa A7 kutoka kwa samsung zilizotumika katika iphone 5s,ipad air,ipad mini 2 na ipad mini 3.Walibadili muelekeo wao na kuanza kushirikiana na kampuni la electronics la huko Taiwan linaloitwa TSMC ambapo lilichukua order na kuanza kuzalisha soc kuanzia A8 ambayo ilitumika katika iphone 6 na 6 plus na baadaye katika ipad mini 4 mnamo mwaka wa 2014 sept 9.

2014 oct 16 apple walitambulisha soc yao tena aina ya A8X ambayo ilitengenezwa na TSMC tena na samsung kukosa dili tena.
Soc hii ilitumika katika vifaa kama ipad air 2.

Katika utengenezaji wa A9 hapa apple walitoa order sehemu zote mbili yaani kwa TSMC na Samsung.
A9 ilitumika katika vifaa kama iphone 6s na 6s plus na pia ipad air 2.
Watu wengi walizilinganisha apple A9 ya TSMC na Samsung baadhi ya vyanzo vya habari vinasema kuwa A9 ya TSMC ni bora kuliko ile ya Samsung.
Nahisi hapa ukawa mwisho wa Samsung kutengeneza tena soc za apple.
Kwa sababu kuanzia.
A9x kwenye ipad pro ni manufactured by TSMC.
A10 fussion ni manufactured by TSMC katika iphone 7 na iphone 7 plus 2016.
A10x fussion pia ni manufactured by TSMC katika ipad pro 2nd generation na matoleo mengine ya ipad pro mnamo 2017.

Mpaka sasa nasikia TSMC wameanza kuzalisha A11 chip kwa ajili ya iphone 7s na iphone 8.

Je wanajukwaa mnaonaje apple wataendelea kutoa order kwa samsung kutengeneza chip zao?
Na ni kitu gani kilichopelekea apple wabadili uelekeo na kuanza kuwapa dili nono hilo kwa TSMC na sio Samsung?
Je hilo sio pigo kwa Samsung kukosa dili kama hilo?
Ahsanteni sana.
Huwezi shindana vitani kwa kuji "expose", samsung vs apple (all wether/time rivals),ingawa ni marketing strategies na kufanya soko liende, this world is full of patents and they all have to comply
 
Samsung na Apple ndio leader kwenye market share, wako bega kwa bega kuangalia njia gani ya kuzima moto na nguvu ya hizi emerging componies/manufacturers kama Lenovo, Oppo, Xiaomi,One plus..., so kuamia kwingine ni road map ya mengi tuu yatakayo kuja kujulikana kwa wanaofatilia kwa karibu miaka ya usoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is MultiMediaCard (MMC)? - Definition from WhatIs.com
kwa theory MMC inaenda hadi 2TB (mara 400 ya hio ipod), ila sidhani kama walifanikiwa kufikia hio storage.

hii hapa MMC ya Nokia 9210 ya 4GB
4GB Transcend 150x MMC Plus MultiMedia Card High Speed

hapa ukumbuke yafuatayo
-MMC ni kuingia na kutoka unaweza kuwa nazo hata 10 ukaeka miziki unlimited
-ipod haina compression yoyote, hivyo nyimbo zinaingia chache compare na kifaa kinachoingia apps na sauti au video ambazo zipo compressed, mimi sio mtu wa audio sana ila kwa video movie ya 4GB inaweza kuwa compressed hadi 700mb kwa kutumia x264 na kwa x265 inashuka zaidi kutegemeana na coder, kuna watu wanazileta hadi around 300mb.

kwa multimedia card ya 4GB na nyimbo ambazo zipo compressed kwa high quality zinaingia 1300, na quality ya kawaida around 4000
Mkuu nisiende mbali sana mpaka mwaka 2001MMC kubwa ilikuwa 128mb hakuna MMC iliyokuwa na 4GB thats why hata ulikua ukinunua hiyo 9210 huwezi kuta hata 1GB unakuta kuna MMC chini ya 64 mb kwa hiyo mkuu hiyo link uliyonipa hio MMC haikuwepo miaka hiyo kumbuka tunazungumzia miaka hiyo in 2001 MMC inayonionyesha ni maboresho baada ya sio wakati tunaozungumzia.
Halafu kwa nini uchomeke na kuchomoa wewe na 16mb yako utaharibu tu terminal ukishindana na mwenye 5GB.
Sishangai hio MMC ku support 2TB na ukubwa wake kwani kuna sd card zenye 1TB na size yake ndogo lakini sio kwamba zitafanya kazi katika simu zote kwani kuna simu nyingi tu zimeandikwa limit yake ya ku support sd card.
Halafu nokia hio 9210 ulikua unaikuta na 16mb MMC mpaka uanze kuzunguka kutafuta MMC ya 128mb wakati mwenzio nna 5GB yangu nimetulia tu we iache tu ipod mkuu iuzwe crazy price wakati huo mambo ya ku compress kupunguza quality ya muziki ya nini?
 
mkuu sijui imeingiaje maneno ya ibm simon na ubishi wa symbian na ipod ila ngoja nikuambie kitu.

mimi sehemu nyingi nime debate hiki kitu ibm simon haikua smartphone sababu ni hizi

1. ina apps limited unachagua wakati smartphone inatakiwa iwe na apps unlimited kila siku developers wanatengeneza mpya, leo hii kuna utofauti gani wa ibm simon na nokia asha? tena asha ipo more advanced kuliko ibm simon

2. haina multitasking, unafanya kitu kimoja badala ya chengine

hio ilikuwa tu feature phone yenye touch screen.

na nokia ya 1992 haikuwa hio tu, zilikuwepo portable, nenda site ya gsmhistory uifahamu historia ya simu vizuri. wakati huo Nokia yupo busy kutengeneza 2G, Gprs na edge kwa ajili ya mawasiliano ya simu mpaka leo hii tunawasiliana na kutuma na kupost msg kwa mobile data hivi shukrani ziwaendee Nokia na Ericson kipindi hicho ambao walistrugle kuitengeneza.
Huwezi linganisha nokia ya 2000s na ibm simon ya 1992 tofautisha muda mkuu kwani teknolojia inakua kwa wakati.
Halafu nilisema ina feature za smartphone sikusema ni smartphone naomba usini quote vibaya mkuu, kwa sababu hata kuwa na hiyo touch ni moja ya feature za smartphone ila kuna site nyingi tu zinazoiita ni smartphone ya kwanza duniani.
First Smartphone Turns 20: Fun Facts About Simon
 
sio ya 2000 ya 1995 first communicator,
 
What is MultiMediaCard (MMC)? - Definition from WhatIs.com
Mkuu nisiende mbali sana mpaka mwaka 2001MMC kubwa ilikuwa 128mb hakuna MMC iliyokuwa na 4GB thats why hata ulikua ukinunua hiyo 9210 huwezi kuta hata 1GB unakuta kuna MMC chini ya 64 mb kwa hiyo mkuu hiyo link uliyonipa hio MMC haikuwepo miaka hiyo kumbuka tunazungumzia miaka hiyo in 2001 MMC inayonionyesha ni maboresho baada ya sio wakati tunaozungumzia.
Halafu kwa nini uchomeke na kuchomoa wewe na 16mb yako utaharibu tu terminal ukishindana na mwenye 5GB.
Sishangai hio MMC ku support 2TB na ukubwa wake kwani kuna sd card zenye 1TB na size yake ndogo lakini sio kwamba zitafanya kazi katika simu zote kwani kuna simu nyingi tu zimeandikwa limit yake ya ku support sd card.
sio ya 2000 ya 1995 first communicator,
Nimezungumzia ulivyosema Nokia Asha.
 
Back
Top Bottom