Apple desktop zimewasili na ofa ya vitabu

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,224
1,707
WhatsApp Image 2021-02-16 at 15.19.25 (1).jpeg

WhatsApp Image 2021-02-16 at 15.19.25.jpeg


Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina ya apple desktop ,all in one, zenye sifa zifuatazo; Hard disk ni 250GB, ram 4GB, core 2 duo ambazo

1. Hazihitaji CPU ,hivyo unaokoa nafasi kwenye meza.

2. Zinaokoa gharama kwani hazihitaji moderm kupata Internet kwani zinakamata hotspot ya simu

3. Zinaokoa muda kwa kuwa mlango wa DVD/CD upo ubavuni mwa monitor (screen) na port ya flash ipo nyuma ya screen.

4. Unaweza unganisha na king;amuzi kwa kutumia TV tuner ikawa TV

Bei ya ofa ya apple desktop ni Tsh.500,000 (Laki tano tu) kwa wiki hii, wiki ijayo jumatatu ya february 27 2023 itarudi Tsh 600,000 (laki sita) kama kawaida

OFA YA VITABU KWA KILA COMPUTER

Vitabu 6 vya maarifa na ujasiriamali bure kwa mteja, navyo Ni:

1. Hduma ya kwanza 10 unazoweza kujipa ukiwa nyumbani ikiwemo chunusi, ngozi ya mafuta, ngozi iloathirika kwa cream, nywele kukatika,vidonda vya tumbo,UTI,PID, kukojoa kitandani n.k

2. Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao mengi ikiwemo Mihogo,bamia, miwa, maharage,vitunguu,matiki maji,ufuta,pilipili hoho. Bamia,Ufuta,Nyanya ,papai ,

3. Kiwanda cha nyumbani (Bidhaa 15 za kutengeneza ukiwa nyumbani kama sabuni zote,mshumaa,chaki n.k)

4. Ufugaji bora wa kuku asili (Jinsi ya kuanza na kuku wawili na kupata kuku 120 kwa mwaka kwa njia ya kulea mwenyewe vifaranga)

5. Online Sales (Jinsi ya kuandika tangazo facebook , likajipost lenyewe Instagram na majibu ya wateja ukayapata Whatsapp)

6. Jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti

Piga simu 0713 039 875 au 0742 499 177 kuwahi ofa hii. Kwa Dar es salaam unaletewa, Kwa mikoani tunatuma. Tupo Kariakoo jirani na China Plaza
 
Nilisahau, ukijitambulisha mwanaJF,kuna punguzo la nauli elf 10 ,maana humu ni wateja wazuri
 
Bei ya ofa ya apple desktop ni Tsh.500,000 (Laki tano tu) kwa wiki hii, wiki ijayo jumatatu ya february 27 2023 itarudi Tsh 600,000 (laki sita) kama kawaida
Hii ina Mana kubwa ,yaani Kuna region una trigger la kibinadamu la fear based aka survival mode ,yaani amygdala part of limbic brain. Yaani matangazo ya kibiashara huwa Ni fear based. Nashukuru nimesoma biashara or saikolojia mtandaoni so sibabaiki hata nikikutana na binti mzuri Mara titi,ama guy wazi hapo yaani najua wanahitaji ku trigger my emotions brain.

Yaani marketers huwa wana manipulate consumer brain.
Kuwa utakosa ama kitapanda Mara nafasi Ni chache so what.

Kiukweli Soma upate maarifa na yenyewe yatakukomboa hutokuwa mtumwa.

Nashukuru ujio wa internet na simu jamani Kama hizi smart.
Ila nimezipenda nikija kuwa na uhitaji nitakucheko hata Kama zitakuwa 2M
 
Back
Top Bottom