Laptop Zimewasili Na Ofa YA Vitabu Vya Tafiti BURE

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,224
1,708
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina ya Aina ya Dell , zenye sifa zifuatazo;
Sifa zake ni core i5 (moyo wa compyuta), Hard disk 250gb ( Tumbo la compyuta) na Ram 4gb( Ubongo wa compyuta)
Bei yake ni laki 3 kamili (tzs 300,000/-)
Hii laptop ina ofa ya vitabu 5 BURE kwa mnunuzi ,ikiwemo:
OFA YA VITABU KWA KILA COMPUTER
Vitabu vitano vya ujasiriamali bure kwa mteja, navyo Ni:
1. Ufugaji wa samaki kibiashara
2. Kiwanda cha nyumbani( Bidhaa 15 za kutengeneza ukiwa nyumbani kama sabuni zote,mshumaa,chaki n.k)
3. Ufugaji bora wa kuku asili (Jinsi ya kuanza na kuku wawili na kupata kuku 120 kwa mwaka kwa njia ya kulea mwenyewe vifaranga)
4. Ufugaji wa nyuki wasiouma
5. Jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala bila kukata

Bei ya ofa ya October 7 2023 ni laki 3 kamili (tzs 300,000/-)
October 15 2023, inarudi tzs 350,000 kawaida.
Tuko Makumbusho plaza -Dar es salaam . Pia unaletewa kwa Dar na Mikoani tunatuma.

Piga 0713 039 875 AU 0742 499 177

WhatsApp Image 2023-10-07 at 19.26.35.jpeg

 
Back
Top Bottom