Ili uwe verified unatakiwa kulipa 138000. Haya hajasema. Naona harufu ya utapeli hapa GLOBAL CITIZEN,
Apps zipo nyingi mno ila zote ni za kulipia ili uwe verified, cha msingi uwe na sehemu za kupokea wageni yaani uwe na chumba au nyumba na iwe na fanicha ili wageni wawe na pakukaa, utapokea wageni wa kizungu kila uchao utachoka wewe tena wanawake ndio wengiMbona kimnya hakuna mirejesho au ndo hamtaki na wengine tutoboe
Vipi kama nipo kwenye nyumba ya kupanga?Una nyumba ambayo haina mtu. Unajisajili kwenye site yao. Kama uko mji A na kuna mgeni anataka kuja huo mji, anaingia kwenye site yao ana-search. Akichagua nyumba yako ulioisajili basi akija anakaa pale kwa muda alio-book. Fedha zinalipwa moja kwa moja AirBNB na wao wanaingiza kwenye account yako baada ya kuchukua commission yao. Ni kama Uber tu inavyofanya kazi lakini hapa ni nyumba badala ya gari.
Global Citizen hii kitu nimejifunza iko vizuri je hii unaweza pokea wageni na kuwadirect kwa hoteli za kitalii au ni lazima wafikie ninapoishi??Shukrani mkuu.
Fanyia kazi hizi opportunity.
Nimeweza fungua tours company kwa njia hizi za kukutana na wageni na kuwauzia safari packages
Kuhusu chumba hujajibu!wako tayari kulala nje
Nyingi zinataka wewe ndio uwe host ndio maana nyingi zinataka uwe na nyumba au chumba, mgeni au wageni wakija unawapokea wanakaa, kwa muda na wageni wanakulipa wakikuelewa kukukatia tiketi za kwenda Ulaya,Asia au Amerika ni kawaida sana pia inakuwa rahisi kukuletea au kuwaelekeza wenzao kuhusu wewe kikubwa kuwa muaminifu.Hv hii unaweza poker wageni na kuwapeleka may be hotel za kitalii au ni lazima wewe ndo uwahost
Daa haya maswali mengine haya πππ ahahahaa!Vipi kama nipo kwenye nyumba ya kupanga?
Umelazimishwa kujibu mkuuDaa haya maswali mengine haya πππ ahahahaa!
Hii ndiyo JF humu ukiwa na hasira mwisho ni unatoa matusi ovyo!.Umelazimishwa kujibu mkuu