Amen.Mungu wa Mbinguni akubariki sana Mkuu
Maxence Melo
Kwenye playstore sioni update
Sasa si bora inayouliza?Mnaotumia app, inaomba kupewa access ya nini na nini. Nakumbuka miaka hiyoooooo nikataka kuitumia mara eti ione contacts zangu... Nili ifyeka fasta.. Hadi leo mie na browser tu.. Muhimu kwangu kusoma tu yaliyomo
Na ya Mange nayo ikawaga hivyo enzi zileee
Ilikuwa usipoikubali basi inakataa.. Nikasema JF ndio enzi watu wanajiachia na kukutana.. Sasa mimi sikuwa nataka hayo humu hadi kesho. Humu ni humu tu...
Nimeshafanya hivyo lakini Bado, nili uninstall Nika install tena lakin hamna kituCha kufanya delete uliyonayo,kisha download upya, itakuja hii mpya.
Tulieni huko kwanza.Naipataje hile ya zamani mkuu
Kwa nini huitaki hii mpya?Naipataje hile ya zamani mkuu