App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

Wakuu,

Nachukua fursa hii kuwafahamisha kuhusu ujio wa App Mpya ya JamiiForums!

Hii sio update ya kawaida, bali tumeisuka upya kuanzia chini. Haya ni baadhi ya mambo mapya (features):

Brand-New Interface (Muonekano Mpya kabisa) - Tume-design app iwe cleaner, faster, na more readable. Tumezingatia suala la mobile-first experience. Kusoma nyuzi (threads) sasa hivi ni rahisi na haichoshi macho. Ukiitumia utaelewa naongelea nini.

View attachment 3647685
View attachment 3647686
View attachment 3647688

JamiiCheck Imerahisishwa - Tumeongeza sehemu maalum (dedicated place) kwa ajili ya mada zote zilizofanyiwa fact-checking. Sasa itakuwa rahisi sana kuziona taarifa zilizochakatwa JamiiCheck.

FichuaUovu Katika Feed Moja - Kwa wale wapigania haki, sasa unaweza kuwasilisha KERO, DOKEZO au HOJA na kufuatilia uwajibikaji wake. Aidha, imekuwa rahisi kuona submissions zote kutoka kwa wadau kwenye feed moja.

Switch Regions (Chagua Nchi Yako)

JamiiForums inakua, hivyo kila tutakapokuwa tunatoa huduma patahitaji kuhudumiwa bila kuingiliana! Sasa unaweza kuchagua nchi yako (Tanzania, Kenya, Rwanda, Uganda, n.k.) na kuona trending discussions zilizo karibu na wewe. Tunalenga kurahisisha mijadala ya eneo flani kujadiliwa kwa lugha wanayotaka bila kuingiliana.

Smoother Threads - Kwenye nyuzi ndefu (huge threads), sasa unaweza ku-jump kwenda kwenye post ya kwanza, ya mwisho, au pale ulipoishia kusoma (last-read post) kwa click moja tu. Pia, replies zitakuwa zina-load automatic kadri unavyo-scroll chini (infinite scroll). Mfumo wa replies umebadilishwa.

Composer Mpya (Eneo la Uandishi limeboreshwa) - Sehemu ya kuandika mada au comments imesukwa upya. Tumeleta rich text editor yenye BBCode inayoendana na App. Ku-format maandishi yako, ku-upload picha (images), na kuweka files sasa ni seamless kwa sasa.

App tayari ipo hewani. Fanyeni ku-update au ku-download, kisha mtupatie feedback. Maoni yenu ni muhimu sana ili tuendelee kuiboresha zaidi.

MSISITIZO: Feedback itasaidia kuondoa kasoro zitakazoianishwa na kuiboresha zaidi App ili iweze kurahisisha upatikanaji na matumizi ya JamiiForums.
Mimi ni website kufa na kuzikana.. App sizielewagi sijui ni mimi mwenyewe tuu.. Kikubwa niko ndani ya JF
 
Jamii forum is a GOAT in the media industry
 
Ubarikiwe sana mkuu Kwa kuifanya Tanzania, pamoja na changamoto lukuki unazokutana nazo, sehemu bora ya kuishi.

Mimi nilishawaambia ndugu na marafiki zangu kuwa ni waTanzania 4 tu (walio mbali nami) ndiyo nitahudhuria kwenye mazishi Yao (watakapo aga Dunia):
1. Jaji Joseph Sinde Warioba
2.Jenerali Twaha Ulimwengu
3. Tundu Antipas Lisu
4. Maxence Melo
 
Sasa na wewe si uwaombee heri na baraka kabla hujawaza huko?😒😒😒
 
So far naona app imekaa vizuri sana, dark mode yake imewekwa rangi tamu sana hata twitter na fb hazifikii. Ila kwa simu yangu nimeona kuna bug moja, ukiwa unaandika composer haipandi juu so nakuwa sioni ninachoandika..
 
Back
Top Bottom