Huna hata jirani wa kumkopa? achana na mitandao
Wote hao ushawaliza mkuu?View attachment 3467425chagua moja kati ya hizo ...utapata mkopo ila malipo ni asilimia 100 ya mkopo uliokopeshwa
Walimtumia picha zako za uchi mama mkwe wako nini?Nilikopa mitandaoni, najuta na sitarudia tena
Wote hao ushawaliza mkuu?
😂😂😂😂 walinitumia meseji za kila aina...siku walipa..Jiandae na hizi meseji. View attachment 3467437
Dully app! Inapatikana SerekaStore!Inaitwa?