Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,737
- 39,838
panda juu mpaka elite ukishinda 10 ndio atleast uone raha.Vp mkuu
panda juu mpaka elite ukishinda 10 ndio atleast uone raha.Vp mkuu
Nifanye nn ili niweke hard kwenye ilo game nafunga ata kumi na tanopanda juu mpaka elite ukishinda 10 ndio atleast uone raha.
ukishinda unapanda daraja unakutana na timu ngumu zaidiNifanye nn ili niweke hard kwenye ilo game nafunga ata kumi na tano
Mbona nimeshinda zote sijapanda darajaukishinda unapanda daraja unakutana na timu ngumu zaidi
hujajenga uwanja itakuwa,Mbona nimeshinda zote sijapanda daraja
Chief naomba unisaidie kwa hili cm yangu imekuwa rooted ni tecno c8 sasa nime install dream soccer league lakn niki open linasema ,dream soccer league need addition from play store, sasa n nn hch,naomba msaad wako ili niweze cheza hili gameukishinda unapanda daraja unakutana na timu ngumu zaidi
Yaani unaifunga team ya ndondo unajisifu? Nenda elite na hiyo timu yako ambayo hata wachezaji ujawaupgrade kashinde hata tano tu ntakuona mwanaume
mkuu ilo game baya ingia Google download appvn hii ni application kama play store afu tafuta game linaitwa first touch soccer 17 autajuta
Chief naomba unisaidie kwa hili cm yangu imekuwa rooted ni tecno c8 sasa nime install dream soccer league lakn niki open linasema ,dream soccer league need addition from play store, sasa n nn hch,naomba msaad wako ili niweze cheza hili game
Cheki Macoin ya Kumwaga.
Uwe unauapdate uwanja hd capacity ya uwanja kubeba watu kuanzi elfu 80 ndio unawexa kupwndishwa hadi elite league na mechi za kimataifaMbona nimeshinda zote sijapanda daraja
Kwa hyo nikilichukulia play store hakuna shida? Ni play tu kirahiskama unadownload online hakikisha unadownload apk na data zake,
kama unaona vigumu si udownload tu playstore?
Msaada chief... Nimedownload apk pamoja na file la obb.. Ila nkifanya installation na nakaiweke obb file.. Bado linaomba kudown load tena data.... Fanya kunielekeza niweke wap obb file liwe detected na gamela mpira? kuna real football, fifa na pes. ila kwa gameplay games za psp ni nzuri kama una pad download ppsspp na rom ya pes ucheze game lenye uhalisia
obb file eka foldrr la android then obb, hakikisha obb file folder like linaanzia na comMsaada chief... Nimedownload apk pamoja na file la obb.. Ila nkifanya installation na nakaiweke obb file.. Bado linaomba kudown load tena data.... Fanya kunielekeza niweke wap obb file liwe detected na game
Asante chief game LA dream soccer league kama ulivyonishaur nimedownload limekubali,,sasa msaada jins ya kucheat ili nipate coin za kutosha na ninunue wachezajobb file eka foldrr la android then obb, hakikisha obb file folder like linaanzia na com
kama umeroot download gameguardianAsante chief game LA dream soccer league kama ulivyonishaur nimedownload limekubali,,sasa msaada jins ya kucheat ili nipate coin za kutosha na ninunue wachezaj