toxic9 mkuu Chief-Mkwawa aliwapa link easy sana kuhack hilo game na unapata coins hutazimaliza mpka unafika elite division..Msaada kwenye ku hack coins,hii lucku patch mbona haifanyi kazi ninayo kusidia?
Tatizo nimejaribu lakini halinifikishi kule napo pataka nime unstall tena mkuutoxic9 mkuu Chief-Mkwawa aliwapa link easy sana kuhack hilo game na unapata coins hutazimaliza mpka unafika elite division..
unapotaka ni wap!?Tatizo nimejaribu lakini halinifikishi kule napo pataka nime unstall tena mkuu
Imekwama mkuu linauninstal likiinstal halifungukUmeweza?
Mkuu hakuna dream league yenye mb chache btw MB200 ni nyingi kwani!?..Lina mb nying kinoma 200
Mb200 nyingi[emoji12] [emoji12] [emoji12]Lina mb nying kinoma 200
Game hili linaitwaje mkuu?Kwap hili hapa ww
Hizi ndo games sasa nnazotaka Dream soccer nishacheza saaana wachezaji nikwa develop wote wana 100 nikikutana na kima yoyote napiga 15 na kuendelea yani game imekuwa rahisi saana haina ladha, raha ya game upate challengeHatar hyo
Psp nzuri sanaa nna grup flan wanatuma game za psp za kwenye simu achana na dream league soccer mi napend game lenye kuanzia mb 800 ndo hua zuri
Daah man Badilisha Jina la team hiyooo tia jina lako, weka logo yako , tengeneza player MPE jina lako tengeneza uwanja upe jina lako ndo utamu wa hiyo game
hata mi shalichoka mchezaj mmoja anawez funga goli hata kumi yaan unamalza ligi bila kufungwa goli hata moja na unakua na goli zaid ya miaHizi ndo games sasa nnazotaka Dream soccer nishacheza saaana wachezaji nikwa develop wote wana 100 nikikutana na kima yoyote napiga 15 na kuendelea yani game imekuwa rahisi saana haina ladha, raha ya game upate challenge
pes 2015 hyooGame hili linaitwaje mkuu?
pes club manager yaan hilo kila kitu kipo realityGame gani mkuu hii
tuulize siwle wa pes club manager sasa hiv nina miez miwili sijauona ubingwa labda uefa ambayo inaanz leohata mi shalichoka mchezaj mmoja anawez funga goli hata kumi yaan unamalza ligi bila kufungwa goli hata moja na unakua na goli zaid ya mia
ukicheza pro evolution soccer au fifa kuna challenge za hatar kama pes ina uefa ukiweka top player hyo ni hatar
Halifikii dream leaguemkuu ilo game baya ingia Google download appvn hii ni application kama play store afu tafuta game linaitwa first touch soccer 17 autajuta
Tayati nimeshachakachua na lucky patcher thank you for ur concern amigounapotaka ni wap!?
Pale kwenye go to file and okey option just click okeyImekwama mkuu linauninstal likiinstal halifunguk
Then nenda kwenye file manager -android-obb pale utakuta folder la dream league soccer then cut and paste hilo folder to any place eg backup nk ukifika hapo niambie hakikisha ukisha cut halitakiwi libaki obb fanya hizo procedures halafu urudi hapa niendele nikupe maelekezoImekwama mkuu linauninstal likiinstal halifunguk
Hebu niambie mkuu nalipataje hili game?hili ndo gemu tamu kupita yote yaan presha nje nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]