Apk ya Dream League soccer 2017

HII TIER 1
NASHINDAAA KWA MBINDEEEE MNOOOO

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji362][emoji362][emoji91][emoji91][emoji91][emoji621][emoji621]
 
Naona mnacheza na VIKATUNI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125] halina uhalisia ,MTU katengeneza MOD yake anawaaminisha ni FTS18[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Poor
Tengeneza na kwako mkuu ila kuna hili pia..
 
Mimi napenda wakomavu na wabishi kama hawa yani unapigwa 9 upo tu co ww umepigwa mbili unascip game
 
Duh kumbe ka uzi ketu bado kapo......siku nyingi sijazama humu aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…