Apk ya Dream League soccer 2017

Nina kikosi matata,foward pale ninaweka mtu tatu mohamed salah,sadio mane,rahem sterling hawa vijana wana kasi ya ajabu,huwa wananifungia magoli hatari
 
Nilijua online[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hutakiwi kumcheka mkuu...mi natatizo moja fts langu mkuuu naona nilazaman sana asee maaana wachezaj niwazaman kwenye timu zao nifanyeje kuapdate nipate ya 18 yangu rooney bado yupo man u
 
Kingne mbona nashindwa kucheza tonaments zingne zaidi ya ligi tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…