Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Sema unabutua sana piga pasi 80% uone utamu wa game
Furaha yangu nikufunga mtu goli kumi tisa...
Haya nimejaribu mpira wa possesion...nimeambulia goli moja...
Mateam yanakaba hayoooo...
Screenshot_20180116-134938.png
 
Naishughulikia bosi.

Au fanya hivi nenda kwenye ucbrowser kama uli download kupitia browser hii mpka ile sehemu ambayo unaikuta downloaded hapo kwenye menu ya uc alafu tafuta hilo file hapo kama hauku clear ukishalikuta utali hold hilo file kama unataka lifuta hivi zitakuja option ya kufuta ku re download na detail sasa wewe chagua detail alafu ukishaingia hapo utakuta maeezo yake yote mpaka source ya hiyo file sasa wewe copy hapo kuna hiyo option uje utu pastie hapa mkuu.
Note;hii haijarishi kama file ulishalifuta kwenye simu kabisa ama bdo labda kama ulifanya clearing katika browser upande wa downloaded file hapo ndo itakuwa kisanga.
 
Khalifavinnie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom