Apk ya Dream League soccer 2017

Za cku mbili3 mlidai graphics za mod yangu leo nimechambua baadhi ni hizi[emoji116]
















Baadhi hizo tu......
 
Anhaa na ile long tap A na long tap B na long tap C na kushinda je mpka mtu umset au ukifia golini doh
Wakuu nshadownload lile pes 2012...nimeview file nikakutana na file linaishia na .com...mlinambia lile ni obb kwa hiyo nimelikopi nikalipaste kwenye android then obb...baada ya hapo nikaopen apk nikainstall...
Sasa baada ya kuinstall nimelifungua inaandika loading.. Nikasubiri imalize kuload duh inaload mpaka kesho nakwambia..haifunguki...
Sijui tatizo nn wakuu...
Morning wadau[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…