Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
Alafy mkuu lako ulisema hawafanani sura ebu tutupie piaKwenye storage yako either phone or sd card kuna file ka android ukifungua liko hivi[emoji116]
Data
Obb
sasa basi paste izo file za data na obb za ilo game kama ilivyo humo kwenye storage yako elekezi.
Poa ila ata uko juu kuna kikosi nilotuma kiangalieni kwa makini.Alafy mkuu lako ulisema hawafanani sura ebu tutupie pia
Coins76 [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuona game chungu wewe.View attachment 675253 Nimefanikiwa wakuu ila sasa jinsi ya kubadili lugha ni shida
Haha nipe trick niziongeze mkuu bila kutumia luck patcher wala kupakua file lingine unaweza hiyo kituCoins76 [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuona game chungu wewe.
It means mod nyingine hazina reality kama hii ya pes 2018,fts 2018 ila hii yao ndo iko na reality sijaelewa hapo nielekeze mkuu
Sura kufanana kupo ila tunaangali ulialiti yaan real ila uwez kuta cr7 akafanana na mwingine 100% lazima kuwe na ukasoro .
Coins76 [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuona game chungu wewe.
Linaenda tu mbona..... Exhibition matches,competition na hata ma-game mode mengineCoins76 [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuona game chungu wewe.
Leta hayo mambo ww[emoji23]Wakuu ninepata link ya hiyo pes 2012 path 2018 soon ntaileta hapa""""ngoja nidownload nione
Aya mtu wa green tunasubili mrejesho wakoWakuu ninepata link ya hiyo pes 2012 path 2018 soon ntaileta hapa""""ngoja nidownload nione
Ingia hapa[emoji116]Haha nipe trick niziongeze mkuu bila kutumia luck patcher wala kupakua file lingine unaweza hiyo kitu
Nawatafutia link ya hii mod nikipata nawaletea niko kuhenyeka uko google...,mtu niliemtegemea naona ni miyeyusho.It means mod nyingine hazina reality kama hii ya pes 2018,fts 2018 ila hii yao ndo iko na reality sijaelewa hapo nielekeze mkuu
Ww unataka game… ganiMbona kwenye site yako kuna fts 17 na pes 18 ni direct link ya fts 18 na sio hili pes 18
DLS gani man united na England mkuu...labda FTS quick match....DLS chaliii[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa dls walichotushindia ni on line yao tu na multiple play,ila kivingine hamtuwez...dls unaweza kuta manchester anacheza na england...kaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]DLS gani man united na England mkuu...labda FTS quick match....
Mrejesho mkuu wa pes 2012 tushakua addicted na game hizi hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile link nimeipata ila uninstall madudu tu mkuu """ngoja niingie tena chimboMrejesho mkuu wa pes 2012 tushakua addicted na game hizi hakuna namna
Ila hawa pes 2012 nawapiga 10 na kuendelea na hapo nacheza ile level ya juu ya kabisa ila hii fts 18 bado sijai masterMrejesho mkuu wa pes 2012 tushakua addicted na game hizi hakuna namna