Naomba link kama unayo nikiingia uc nashindwa elewa ni ipi hiyo aptoide nimejaribu bila mafanikioHapo inabidi download apps nyingine ili aweze update linamo jaribu ile 9apps" aptoide n.k utafanikiwq mkuu
ingia playstore pale kwenye my apps and games option ya library kuna apps uliziunistall halafu hukuzifutaNdio. Labda nipate link ya ku update kutoka 2017-2018 may be itafanikiwa
Umejiweka mzungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 632742aje mtu online nimchinje npo tier 9 nw
Ukifika tier ya 3 unishtue mkuuView attachment 632742aje mtu online nimchinje npo tier 9 nw
Hiyo ni Kwako tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rangi za BATIKI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ni kwangu tu ama
Ingia www.kuchalana.comIvi kuna uwzekano wa kubadilisha logo ueke ya Chelsea,man u au barca? Na pia jezi za timu hizo unaweza kuzipata DLS 2018
Mkuu tatizo siyo space.ingia playstore pale kwenye my apps and games option ya library kuna apps uliziunistall halafu hukuzifuta
so press iyo x itoe uchafu wote pawe clean kama hivi
hapo itakuw tayari so unaweza kudownload games na apps zako vizuri bila shida
tatizo nnMkuu tatizo siyo space.
Nilikuwa nalo la 2017 nikataka niliupdate nikaupdate nikiplay ndo Linaandika "unfortunately, dream league has stop"tatizo nn
Ingia youtube mkuu utapata maelezo ya kinaNilikuwa nalo la 2017 nikataka niliupdate nikaupdate nikiplay ndo Linaandika "unfortunately, dream league has stop"
Halinipi option ya kuliunstall ili ni install lipya.Nikapata wazo labda nikipata link ya ku update kwenda 2018 Nitafanikiwa maana halifutiki kwenye simu.
SawaIngia youtube mkuu utapata maelezo ya kina
ingia setting kwenye simu then apps unistall hilo gameNilikuwa nalo la 2017 nikataka niliupdate nikaupdate nikiplay ndo Linaandika "unfortunately, dream league has stop"
Halinipi option ya kuliunstall ili ni install lipya.Nikapata wazo labda nikipata link ya ku update kwenda 2018 Nitafanikiwa maana halifutiki kwenye simu.
Mkuu kila nikienda kupeste wananiambia download inafel nakosea wap mie mkuuIngia www.kuchalana.com
Wameelekeza na link zipo za kumwaga hadi jezi za simba sc zipo
Halionekani huko lakini kwenye screen lipo na nikiingia play store wananiambia ni update niki update halifungukiingia setting kwenye simu then apps unistall hilo game
Ulifanyaje ukafanikiwa naletewa huu ujumbe halifunguki
Kama inavyoonekanaaa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
ok ingia playstore download apps yyte za unistaller itakusaidia btw unatumia simu gan?Halionekani huko lakini kwenye screen lipo na nikiingia play store wananiambia ni update niki update halifunguki
usifungue data wakati wa kuinstallInaniandikia download failed au naomba unipe maelekezo huenda me nakoseaga
Ianze na http na usiache space nyuma na Mbele iishie na PNGMkuu kila nikienda kupeste wananiambia download inafel nakosea wap mie mkuu