Apk ya Dream League soccer 2017



Barcelona anatia huruma aseeeee nmemuibia kikosi kizima mpaka sub[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Angalia video YouTube
 
Hahaha hivi baada ya div1 unaenda wapi?
Ukitoka div 1 unaingia junior Elite div baada ya hapo unaingia Elite div ambako ndio baba lao huku timu BABE zote za dunia unazikuta huko

[emoji23] [emoji23] hatari sana Elite div mpira mwingi balaaaa
 
Wakuu maelekezo jinsi ya kudownload FIRST TOUCH SOCCER 17
 

Ni mashuti tu mpaka kipa anaona wenge, pogba alikandamiza shuti mpira ukagona besela ukaenda juu kabisa, raha sana game linavutia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…