Apk ya Dream League soccer 2017

sikua nimelijua hilo napoli hnisumbua sana wacha ninunue wachezaji wake wale hatari
 
FTS 2017 naomba kwa mwenye nalo naona hili la 2015 hata Messi hajafuga ndevu pia haonekani katika sura halisi, au kama kuna mtu anafahamu namna ya ku-upgrade toka 2015 kwenda 2017 anipe maelekezo
 
FTS 2017 naomba kwa mwenye nalo naona hili la 2015 hata Messi hajafuga ndevu pia haonekani katika sura halisi, au kama kuna mtu anafahamu namna ya ku-upgrade toka 2015 kwenda 2017 anipe maelekezo
Angalia page mbili za Thread, Mkuu chief mkwawa ameliweka.
 
Asante saana Mkuu Chief, hatimaye nimefanikiwa.
 
Kama unataka coins za kutosha katika games na ku unlock trial apps fanya mchakato wa kuroot simu yako nikupe maujuzi.
 
FAINALI MTU KALA ZA KUTOSHA
 
Attachments

  • Screenshot_2017-06-08-09-26-25.png
    625.8 KB · Views: 53
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…