Apk ya Dream League soccer 2017

kunyanyua kwapa tu[emoji23][emoji23][emoji57]
Kama ni ELITE DIVISION nakupa Salutee Bt kama ni hivyo vi division vya kitoto sijui division 3 nakukaribisha ELITE DIVISION kwa wakubwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nmelidownload mkuu na nimecheza kama game mbili ili nkimaliza hii process ndo linakuwa halifunguki kbs
Njoo nimalize kukuelekeza leo lazima uchakachue coins, rudi pale nilipo kuelekeza mwanzo utaona nimefanya mabadiliko na picha nikaweka mkuu lengo ufurahie uchakachuaji wa coins
 
Marudio katika maelekezo ya awali kuna jambo niliruka nenda hatua kwa hatua


1.Anza hivi
Download game la dls na hakikisha linafunguka kabla huja chakachua na lucky patcher
2.nenda obb liangalie game kama lipo utakuta folder pale usi cut kwanza nenda kwenye lucky patcher
3.then nenda kwenye lucky patcher chakachua ukifika kwenye hatua ya go to file na okey bonyeza okey baada ya hapo litakua tayari nenda obb
4 ukienda obb litakua tayari umshachakachua cut alna paste sehemu nyingine
5.hakikisha pale ulipo cut kwenye obby lisiwepo
6.nenda kwenye setting app ka unstall,


7 then kwaajili ya install the game ulilo chakachua kama stage ya mwisho nenda kwenye folder hili.......
Nenda file manger [emoji117] android [emoji117] data [emoji117] tafuta folder [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…