Apk ya Dream League soccer 2017

Ni comment yako zamani Ila bado inaishi na itaendelea kuishi. Sasa mkuu binafsi nimefuata utaratibu wote mpaka pale kuunstall na kuinstal na kurudi kwenye DLS yenyewe na kuifungua ili nisajili captain alafu niende kwenye coin, lakini baada ya kuifungua inaniniletea ujumbe "download paused because no network is available" wakati Nina MB za kutosha na Data iko on
Nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninalo 2019 nilicheza na mtanzania mwenzangu online nilimpiga magoli mpaka akanikimbia kenge yule alifikiri Mimi wakuja😜
Ila sio siri online gumu kichizi kuna mimtu inagada kule mpaka myengine kabla hata mechi haijaanza unajua tu hapa sitoboi😅
 
Vp kwenye upande wa data haili sn? Au nielekeze unahitaji mb kiasi gani per day ili kucheza hyo game online
 
Vp kwenye upande wa data haili sn? Au nielekeze unahitaji mb kiasi gani per day ili kucheza hyo game online
Haha hata usihofu haili mb hata ukiwa na mb 500 unacheza mpk unachoka..
Labda uwe tu na ma apps mengi yatakayokutafunia data zako!..
Ila jiandae Kuna watu wanagada huko😅
Utanipa mrejesho kikubwa uwe na network nzuri ndo itakuwa bomba..
 
Mkuu kumbe ni wewe😁
 
Mkuu nimepakua game ya pes lkn bado nashindwa ku install yn kule kwenye ppsspp halijatokea, naomba msaada mzee
 
Hyo dls ina ukubwa gn? Na je ipo offline au ni online tuu
Mkuu nikiangalia kwenye kitochi changu naona mb 885! Sasa hizi sijui na ukubwa wa matumizi!!!
Nachoelewa na uhakika lina mb 300 na kitu maana nakumbuka siku nalidownload lilikuwa na ukubwa huo..

Hili una play online na offline pia vile utakavyo tu..
Ila nilijua tayari unalo😜 Kama ndo process ya kulipakuwa ndugu unayo kazi kuzipita zile division kujenga uwanja kununua wachezaji kuwaongezea nguvu kazi unayo😅

Ukitaka mtelemko fatilia humu kuna namna ya kuli hack ukapata mikoin ya kutosha ila lipakuwe kwanza mengine yatafuata chukua dream league 2019...
 
Dah hatimaye nimefanikiwa kuli install Pess mkuu, game tamu sn hili ila kuna settings fulani nahitaji mwenye nalo ili anihelp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…