Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,197
- 3,930
Kama wamemkamata aliyempiga risasi basi ni jambo zuri,tutajua kama ni mambo ya kifamilia au kibiti imesogea kibangu.pole sana muumini.Mungu akupe kupona haraka.
-Domhome-
Kama wamemkamata aliyempiga risasi basi ni jambo zuri,tutajua kama ni mambo ya kifamilia au kibiti imesogea kibangu.pole sana muumini.Mungu akupe kupona haraka.
Hiyo inshu naifahamu , hao walikuwA wanaugomvi wa muda walikuwa wanamgombania mtoto mmoja mkali wa kichanga anaitwa Haika massawe anasoma Kurasini chuo cha T.I.A sasa wamekuwa wakitishiana. Cha ajabu wote wameoaView attachment 548789
Mwenyewe anajiita queen chicca
Na huyo atakayempiga naye apigwe risasi...
Wabongo mna maneno, sijui ungekua wewe hata kutumia hyo silaha kam ungweza!!!! maandazi kweliJamaa aliona kabisa avae na miwani ya jua afanane na akina jack bauer, dolp,anold na Rambo.
Kakamatwa kiboya kweli sijui silaha alikuwa anayo bado au aliitupa akaanza kusepa,
Hii haitifautiani na mtu kuchoka sana halaf anabeba baiskeli mabegani eti imemchosha.
Kina kajua yote mshakuja na assumption zenu!!! hao ni mtu na mkwe wake, msikurupukeeeeKweli , papuchi haijawahi kumuacha mtu salama.
Umewaza mbali sanaAsingekamatwa huyo Mpiga Risasi Basi tungeambiwa ni Wale Ma Sheikh wa Uamsho ndio waliratibu
Mwenye miwani ndio kapigwa risasi ?mwenye miwani ndio kaamtia mwenzie mkwaju...nilikuwa natoka makoka ndio nimi nikachukua picha kidogo
Asingekamatwa huyo Mpiga Risasi Basi tungeambiwa ni Wale Ma Sheikh wa Uamsho ndio waliratibu