Apigwa risasi nje ya Kanisa Ubungo

Apigwa risasi nje ya Kanisa Ubungo

HUYOO MTU ANGEKUFA ungesikia haoo waislamu wamempigaa haya sasa leo.munazuga semeni ukristo nao ugaidi

sady mkima
Hauwezi kuficha ukweli. Magaidi wote niliowai kusikia matukio yao ni waislamu. Lililotokea sio tukio la kigaidi, usichanganye mambo mkuu. Haikua sahihi kuleta imaginations za ugaidi kwenye hili swala.
 
Hiyo picha yake tu inaonyesha huyo mtu akili haipo sawa


Unaenda kumpiga mtu risasi halafu unataka kukodi bodaboda hapohapo
 
Nisingeweza kweli na haitatokea nna mashine mkono mkanishika kifala,

Nikifyatua tu moja hewan mpaka polisi wanatokomea,

Sasa huyo boya anakamatwa tena na wananchi huu ni ujinga wa karne


Alienda na risasi 3 kwenye tukio na zote kafyatua na hajaua. Ndiyo maana kakamatwa kama kuku wa kichina.
Yaani ni bonge la kilaza katika shabaha.
 
[7/23, 16:42] Nicko: Kama mtu anasali parokia ya kibangu anijuze Jambo nasikia kuna mtu kapigwa risas
[7/23, 16:42] Nicko: Ni kweli muumini alikuwa anasubili kuingia misa wakati wa matangazo akaja mtu na kumpiga risasi 3 huyo Mzee kwa yupo moi Muhimbili akifanyiwa upasuaji wa kutoa risasi.
[7/23, 16:42] Nicko: Inasemekana huyo kijana aliempiga mkwewe risasi alikuwa na ugomvi na kewe na walikuwa wametengana kwahiyo akahisi babamkwe ndio anaempa binti yake kiburi tumuombee jamani maana ndio yupo muhimbili madactari wanajitahidi kumfanyia operesheni ya kichwa ili waitoe risasi kichwani
[7/23, 16:42] Nicko: Nikweli imetikea leo asubuhi wakati huyo baba anasubir kuingia ibada ya pili ndipo mkwewe aliemuoa mwanae amemfwata babamkwe kwania ya kumsalimu kumbe alikuwa na bastola na kumpiga moja ya kichwani mkononi na tumboni baada ya tukio mtuhumiwa hakukimbia bali aliwaomba waumini wamwitie polisi

germve himself
 
Kweli , papuchi haijawahi kumuacha mtu salama.
Hii ensue huifahamu hata kidogo , huyo ni mtu na baba mkwe wake. Wanapigania wajukuu, kijana ameblokiwa watoto na mahakama baada ya kuachana na wapo kwa babu na babu hataki nao kama mahakama ilivyoamuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYOO MTU ANGEKUFA ungesikia haoo waislamu wamempigaa haya sasa leo.munazuga semeni ukristo nao ugaidi

sady mkima
Acha hizo wewe umekaa kiudini , amepigwa mroma he mpigaji unamjua? Alafu hap si malumbano ya din

sending using jamiiforum makinikia
 
Alienda na risasi 3 kwenye tukio na zote kafyatua na hajaua. Ndiyo maana kakamatwa kama kuku wa kichina.
Yaani ni bonge la kilaza katika shabaha.
Umeona eeee jamaa boya kweli kama alikuwa anatombewa hamna namna wacha akanyee debe jamaa aendelee kumkaza
 
HUYOO MTU ANGEKUFA ungesikia haoo waislamu wamempigaa haya sasa leo.munazuga semeni ukristo nao ugaidi

sady mkima
usitotoe nje ya mada kwa kutaka kuusafisha uislam, kama uislam ni ugaidi post zako za JF haziondoi status hiyo
 






Muumini wa kanisa Katoliki, Adrian Mpande amepigwa risasi mbili akiwa anasubiri kuingia kanisani katika Parokia ya Kibangu wilaya Ubungo jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa George Ng’atigwa ambaye ni shuhuda wa tukio hilo amesema kuwa Mpande alikuwa akisubiri kuingia kanisani majira ya saa tatu asubuhi lakini alikuja mtu mmoja aliyekuwa anatembea kwa miguu na kumpiga risasi ubavuni na mkononi, hali iliyosababisha aanguke na kupoteza fahamu.

Alisema kuwa mtu huyo alikimbia lakini watu waliokuwa maeneo hayo walifanikiwa kumkamata baada ya kuishiwa risasi wakati akijaribu kuwatishia.

Aliongeza kuwa baada ya kumkamata mtu huyo, waliwasiliana na jeshi la polisi ambalo lilifika na kuondoka naye kwa ajili ya taratibu za kisheria na kwamba majeruhi alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kupatiwa huduma ya kwanza katika zahanati iliyokuwa karibu.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni Dar es Salaam, Suzan Kaganda alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha kuwa limetokana na ugomvi wa kifamilia.

“Mtuhumiwa tunaye tunaendelea kumhoji na aliyejeruhiwa yuko hospitali anaendelea na matibatu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,” Kamanda Kaganda anakaririwa.
 
Mmh ugomvi wa familia mpaka kutaka kutoana roho???? Sio mchezo
 
Hauwezi kuficha ukweli. Magaidi wote niliowai kusikia matukio yao ni waislamu. Lililotokea sio tukio la kigaidi, usichanganye mambo mkuu. Haikua sahihi kuleta imaginations za ugaidi kwenye hili swala.
nitajiee magaidi unawaojuwa wew

sady mkima
 
Back
Top Bottom